TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,765
- 21,239
Tarehe 31.12.1929 alizaliwa mke wa Rais wa kwanza wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Kwa lugha ya kibantu tunasema 'sabukuu' ya Mama Maria Nyerere.
Wasomi wa lugha na mnaofahamu kizungu kuliko kiswahili neno sabukuu kwa kiswahili ni mazazi kizungu ni "birthday".
Mama yetu leo anatimiza umri wa miaka 93, kwa pamoja mzazi huyu aliyemtunza Baba wa taifa letu tumtakue heri na afya tele huku Mwenyaazi Mungu azidi kumruzuku uhai zaidi.