mseseve
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 511
- 89
Basi siku moja massawee na mke walikuwa nyumbani kwao wamekaa sebuleni baada ya masawee kumchukuwa mkewe hospital toka kujifungua mtoto wa kiume. Sasa kuna jirani yake bwna urassa alikuja kumpa hongera masawee kwa kubarikiwa mtoto kidume.alipomwona mtoto tuu alimsifu mama manka: yaani mama manka utafikiri k*ma ina kamera kamtoa massawee photocopy..