Mama namba Moja akielekea Shule ya Msingi Mbuyuni alikokuwa anafundisha kuaga rasmi nafikiri labda sasa kuwekeza muda mwingi kwenye majukumu ya kuwa mama Moja TanZania!
Mama namba Moja akielekea Shule ya Msingi Mbuyuni alikokuwa anafundisha kuaga rasmi nafikiri labda sasa kuwekeza muda mwingi kwenye majukumu ya kuwa mama Moja TanZania!
duh..hii comment yako ni ya maono unayoweza ona kwa jicho la tatu sio macho haya mawili[emoji15]Lakini haimanishi kwamba hana smart phone kwa kuwa wewe haujampa!
Inawezekana Mkuu.. Tulikua na Mama Salma Kikwete Enzi hizo Miaka ya 90, tulikua na Mama Mahita, akaja huyu Mama Joseph Pombe.. Na wengine wengi tu siwakumbuki.. Ni shule ambayo hua wanapitia Wakubwa Wakubwa.. Sijui hua wanafanyaje huko wizarani mpaka wote wanajikuta hapo.Ngoja nifanye mpango nikaoe mwalimu hapo Mbuyuni, who knows i might be a president someday....tehe
Hpo ndo naanza kuamini ile tafiti ya shule za msingi kuongoza kwa ngonoMh! Hao watoto wa primary kuwa na smart phone shuleni ni mushkeli! Halafu baadae tuulizane waliharibika lini!
Tanzanians pupils in their uniforms are the smartest in Africa(cjui nimekipatia hapo english). Dah inanikumbusha nikiwa msingi.Mama namba Moja akielekea Shule ya Msingi Mbuyuni alikokuwa anafundisha kuaga rasmi nafikiri labda sasa kuwekeza muda mwingi kwenye majukumu ya kuwa mama Moja TanZania!
Angalia picha inayoning'inia nyuma yake!
Watoto wakiangalia kwa shauku na mategemeo makubwa kwa Raisi Magufuli kuwatayarishia nchi ambayo watajivunia nayo!
Mkuu wa Wilaya ya K'ni aka Jembe dogo la Kinondoni halichezi mbali
Watoto wa kileo hao full smart phone dadadeki..!
Tutakumiss Mwalimu wetu alisikia dogo akisema...!
Watakuwa walipewa na walimu wao kuwasaidia kupiga picha.Watoto wa shule ya msingi kuwa na smart phones ndo utandawazi ? Tunatofautiana malezi, wangu yuko sekondari form II,sijampa hata Nokia tochi.