klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
heheh fellow tablet wewe kweli ni greti thinka bana! mpaka sasa kwenye hii sredi magreti thinka ni wawili tu, mimi na wewe, hawa wengine wanaongeza idadi ya pages tu, yaani hapo red ndio msingi wa hii sredi lakini DA kajifanya kuipamba na kuilemba ili aonekane anawajali sana majirani zake na maadili ya east afrika mashariki na kati. DA bana! leo siondoki mpaka nipewe jibu, laptopu ikiisha chaji nitaazima ya jirani.Na ukweli tunaoutaka toka kwa Dena: Ni kwanini analia wivu kwa mama kufua chupi za mwanae ambaye DA ni gelofrendi wake?.....
DA popote ulipo, hela yangu yote itaishia intaneti kefu mpaka urudi hapa utuambie ni kwanini unataka wewe mwenyewe ndo ufue chupi za boifrendi wako ambazo mama mkwe wako anakusaidia kuzifua bila gharama yoyote?....Au we ukizifua huwa hazitakati?...Kuja hapa bana uchukue vidonge vyako tokea famasi na wodini.
Shem DA hapa naona umelikoroga,sasa utalinywa vipi maana Klorokwin na Aspirin hawasikii cha Sheikh, Muadhin wala muongoza swala , wanakutaka wewe tu utoe maelezo kuhusu kufuli! mi naona bora ujisalimishe yaishe !heheh fellow tablet wewe kweli ni greti thinka bana! mpaka sasa kwenye hii sredi magreti thinka ni wawili tu, mimi na wewe, hawa wengine wanaongeza idadi ya pages tu, yaani hapo red ndio msingi wa hii sredi lakini DA kajifanya kuipamba na kuilemba ili aonekane anawajali sana majirani zake na maadili ya east afrika mashariki na kati. DA bana! leo siondoki mpaka nipewe jibu, laptopu ikiisha chaji nitaazima ya jirani.
Kuna griit thinka mwingine hapa chini....mgongee senksi tafazaliheheh fellow tablet wewe kweli ni greti thinka bana! mpaka sasa kwenye hii sredi magreti thinka ni wawili tu, mimi na wewe, hawa wengine wanaongeza idadi ya pages tu, yaani hapo red ndio msingi wa hii sredi lakini DA kajifanya kuipamba na kuilemba ili aonekane anawajali sana majirani zake na maadili ya east afrika mashariki na kati. DA bana! leo siondoki mpaka nipewe jibu, laptopu ikiisha chaji nitaazima ya jirani.
Shem DA hapa naona umelikoroga,sasa utalinywa vipi maana Klorokwin na Aspirin hawasikii cha Sheikh, Muadhin wala muongoza swala , wanakutaka wewe tu utoe maelezo kuhusu kufuli! mi naona bora ujisalimishe yaishe !
Asprin na Klorokwin tafadhali mnitake radhi........................... network haishiki huku shida kweli
ndio tayari umejibu au tusubilie utaendelea?Asprin na Klorokwin tafadhali mnitake radhi........................... network haishiki huku shida kweli
Kuna griit thinka mwingine hapa chini....mgongee senksi tafazali
Asprin na Klorokwin tafadhali mnitake radhi........................... network haishiki huku shida kweli
Fellow tablet hapa hakuna dalili ya kujibiwa hili suali, sibitisha hapa chini. DA anasema network haishiki. khaaa! watu wana PHD za kuzima mada kiintelijensia.
mtoto kwa mama hakui
Fellow tablet...sijarizika na majibu ya DA......netweki itazuiaje asituambie namna "alivyovumbua" mmiliki wa chupi alizokuwa anafua mama wa watu? Kama ni za basha wake mama, DA alijuaje? Ngoja niongee na UDOM wanigawie PhD kama ya JK ili nibishane vizuri na PhD holder wa kusepa maswali kwa hisani ya Invizibo....
Habu chaji hiyo laputopu yako tuendelee na mkesha wa kumlilia DA atuambie ukweli bana....mi nshalipia intaneti kefu mpaka kesho asubuhi, na jenereta nimekuja nalo incase TANESKOO wamechukua PAWA yao ya RESHEN.
Sijawahi kusikia mama anatembea na mwanawe. Mchezo huo wanao wakina baba. Tuwe wakweli.