Mama Kilango jiandae mwisho wako ni 2015

Mama Kilango jiandae mwisho wako ni 2015

Acha uongo hakuna walichofanya wakati kuna mpango jimbo la mamam huyu kusaidiwa na IRAN wachimbe mafuta au hufahamu mahusiano mazuri ya familia ya mama huyu na IRAN?

hahah wachimbe mafuta wapi? hahahha ..wewe upo iringa huko utaijuaje same
 
sasa mkuu unaongea tu na unaona sawa?ok'utamtoa wewe?unajua mipango yoyote endelevu ya kumtoa?manake kama ni kuongea wote tunaweza'ila asiporudi bungeni kile kibabu lazima kitampiga chini
 
Hivi huyu mama si kaolewa Dodoma? Sasa yeye ni mkazi wa Same au Mtera? Watani zangu wapare hebu kuweni serious. msimchague huyo kada wa mafisadi

bora mkuu wangu umesema ..huyu mama hayupo kwa maslahi ya watu wa smae ..akae amliwaze mzee wake huko
 
Mh. Anna Kilango ndiye anayekusanya kodi toka kwa wananchi wa Tanzania? Maendeleo yanaletwa kwa kutumia pesa za kodi........labda nyie hamlipi ndio maana hizo barabara hazijengwi au unadhani wanaokusanya kodi wanapeleka pesa mahali bila kuangalia mchango wa hilo eneo katika uchumi wa Taifa? Unafikiria mtavuna tangawizi kiasi gani iweze kutoa kodi ya TShs 900 million gharama ya kujenga kilometa moja ya lami?

Usiwe mwepesi kulaumu bajeti hupangwa na serikali na siyo mbunge.

kama ndio hivyo wabunge wana kazi gani sasa?
 
Kelele nyingi tu kumbe hakuna kitu.Naomba wana JF tupeane taarifa za maendeleo majimboni kwa wabunge wanaojifanya wanaongea sana bungeni

nitawamwagia picha kibao za watu wa sme jinsi wanavyoishi ..huyu mama hamna chochote anachofanya zaidi ya kwenda kwenye misiba na kulia lia ..akifanya hivi wamama wanamhurumia sana na kuona kuwa yeye ndio anafaa kumbe hakuna kitu
 
black acha hizo bana......... mgawo wa pesa za kodi kwa maendeleo ya wananchi
humea jinsi mwakilishi wa wananchi alivyo karibu na mkulu.umesahau jinsi mramba wakati ule akiwa karibu sana na ben pesa zote za bara bara zilipelekwa rombo bila kujali kelele za wabunge wengine ambao majimbo yao hayakuwa hata na meta moja ya lami. huyo mama hafai kuwa mama wewe hujui kuwa mama mkorofi na wanaye hula kwa macho tuu. kalagabahoo.

sasa huyu mama si yupo karibu na malechela? huyu hayupo kwa maslahi ya jimbo letu ..sasa hivi tunalitaka jimbo letu ..tumeshachoka ..
 
sasa mkuu unaongea tu na unaona sawa?ok'utamtoa wewe?unajua mipango yoyote endelevu ya kumtoa?manake kama ni kuongea wote tunaweza'ila asiporudi bungeni kile kibabu lazima kitampiga chini

kaka utaratibu upo tayari ..kwani uchaguzi ni kesho kaka?
 
Mimi ni mwanamapinduzi na mwanaharakati ...huyu mama kaja katuharibia jimbo letu anaongea sana na hakuna anachofanya zaidi ya kuwahadaa wananchi wa same.. sasa mama nakuambia kuwa mwisho wako unakaribia..
jimbo zuri lakini wananchi wake wanaishi gizani ..kuanzia afya ,elimu na barabara ...jimbo lote hakuna barabara ya lami hata moja ...wananchi waliahidiwa barabara ya lami toka mkomazi hadi same lakini hadi leo hakuna hata dalili na ni ndoto na nina uhakika wewe mama huwezi kuileta ..sasa jua kabisa kuwa mwisho wako ni 2015...nitapita nyumba kwa nyumba na kuwaelewesha wananchi kuwa nchi yao inaliwa na wajanja na wewe ukiwa mmoja wao...
pokea kwanza hii alert ....

ambiere evava
 
Black Bat,Hii signature yako Mi HOOOOOOOIIIIIIIIIII kwelikweli,hasa hapo kwenye red "ukipenda niite double biiiiiii!! tchao "Double "B" Pale Njiro-SDA kwa chini sio?Yaani KOO limenibana ghafla na Kiu Ya Biere yaani "Chui na Ndovu" Mkuu.Ukiwa Mbunge badala ya "Domo Kaya" Kilango Mdandia Hoja za CDM nitakuja kukuunga mkono tufunge Double B bar mkuu!!!!
 
Thread hii ina harufu ya kifisadi

kivipi?? najua huyu mama akishikwa pabaya atasema kuwa mafisadi wana mpango mbaya nae mimisina shida na wala sifungamani na mafisadi kwani huyu mama ana nini au kafanya nini hadi mafisadi wamuandame? huyu hafanyi mambo aliyotumwa na wananchi wake lazima aondoke .. tunataka same yenye maendeleo na wala sio same ya kidatu huko .. huyu mama mda wote yupo kidatu marekani uingereza na mume wake sisi tunataka aondoke .. hapa kuna ufisadi hapa,? you can prove me wrong
 
Black Bat,Hii signature yako Mi HOOOOOOOIIIIIIIIIII kwelikweli,hasa hapo kwenye red "ukipenda niite double biiiiiii!! tchao "Double "B" Pale Njiro-SDA kwa chini sio?Yaani KOO limenibana ghafla na Kiu Ya Biere yaani "Chui na Ndovu" Mkuu.Ukiwa Mbunge badala ya "Domo Kaya" Kilango Mdandia Hoja za CDM nitakuja kukuunga mkono tufunge Double B bar mkuu!!!!

hahaaaa .... tunataka same yenye maendeleo sio maneno mengi
 
Back
Top Bottom