Mama Kanumba; Siwezi kumchukia Wema kwa kwenda kumuangalia Lulu gerezani

ObieTrice

Senior Member
Jun 27, 2017
159
154
Mama kanumba afunguka Jinsi Wema Sepetu alivyofaa kuolewa na kanumba kwa kuwa alikuwa mstaarabu na alikuwa akivaa kiheshima sana alipokuwa akimtembelea. shilawadu walimuuliza atajisikiaje wema sepetu akimtembelea Lulu gerezani?.

sawa mama
 
Huyu mama anachofanya ni kuwamiliki hawa wasanii kwa kivuli cha marehemu.
 
Back
Top Bottom