Hii nayo ni aina nyingine ya UTAPELI wa enzi na enzi, eti ukifa unaenda kuchomwa moto ambao unateseka tu lakini huteketei🤣
This is for your lifeHii nayo ni aina nyingine ya UTAPELI wa enzi na enzi, eti ukifa unaenda kuchomwa moto ambao unateseka tu lakini hutekeiei🤣
Wakoloni wa kizungu na kiarabu walijua kutuweza!
Mtu ukishakùfa ndio imeisha hiyo, ni kama anavyokufa mbuzi au kiumbe mwingine yeyote.....hakuna cha peponi wala motoni
Hy shortcut ww umeitafsiri kwenye negative tuu, nenda Na kwenye positiveShortcut ndio zinawaliza na kuwamaliza.
SIO KESI, KESI NI KIWA MAMA NAE KAAMUA KUWA TAPELI MKUU?Project za TEETH hizo kuwaadaa raia ,hata kina Chief nao ni wamoja wapo...sijawahi kuona TAJIRI ana mikelele.
Kaka sijakuelewa, mana picha inasema yote huyo tajiri chui ni TAPELI anadaai yeye ni free mason, na anaunganisha vijana hata we ukitaka unaenda kufungwa sa we na akili timamu unaeza enda kufungwa na huyo dogo? Sasa Ina maana mama KANUMBA ye hajui hio michezo kakaSijasoma Ila najua umeandika utumbo ambao wamatumbi wanaamini pia
Sasa kama free mason wa Kenya walifukuzwa kwenye jengo kisa Kodi Ina maana mtu hujiongezi kua hao ni wapigaji, ila Kuna watu wataenda na LAKI LAKI zaoFreemason gani hawa? Ni matapeli tu, freemason ni taasisi nyeti na haipati wanachama wake kiboya namna hii, msomeni Sir Andy Chande aliyekuwa mkuu wa Freemason Tanzania ndiyo mtajua freemason ni kina nani na hupatikanaje
Hamkuchanga akaona ajiongezeHuyo mama si alisema tumchangie pesa anunue gari,amechoka kutembea kwa miguu!
😀😀Mkuu hapo Kuna watu wanaenda KUPIGWA, tajiri chui sio muigizaji ni mtu kazi kama alivo chief godlove, huyu jama NAE eti ana kanisa la freemason unajiuliza hivi huyu qmetuona sisi matrako, free mason Kenya walifukuzwa kwenye jengo kisa kushindwa kulipa Kodi, hata umeme TU walikua wamekatiwa, Sasa huyu atatushawishije
😁😁🤣 akasema mzimu wa MJ umemkumba kijanaZumaridi aliombea kijana wa kitanzania akaanza kuvunja kama wakojako😂😂😂
Kwaio kuunganishwa ni Bure ama ndio lakiKaka sijakuelewa, mana picha inasema yote huyo tajiri chui ni TAPELI anadaai yeye ni free mason, na anaunganisha vijana hata we ukitaka unaenda kufungwa sa we na akili timamu unaeza enda kufungwa na huyo dogo? Sasa Ina maana mama KANUMBA ye hajui hio michezo kaka
Wakati niyeye aliuza magari ya mwanaeHuyo mama si alisema tumchangie pesa anunue gari,amechoka kutembea kwa miguu!
Tajiri chui Hana masikhara lazima utoe chochote, Yani free mason anahangaika na LAKI MOJA kweli?Kwaio kuunganishwa ni Bure ama ndio laki
ASEEE KUNA HAJA HAWA MAMA ZETU, UKISHA ONA UMEJIPATA QNZA KUMSOGEZA KWENYE VI BIASHARA VYA HAPA NA PALE, MAMA KANUMBA BAADA YA MWANAE KUFARIKI AKAANZA KUVAA KOTI LA SUTI NINI, ETI ANAENDA OFSINI, HAIKUPITA MUDA KODI IKAMSHINDA WAKAMTIMUAWakati niyeye aliuza magari ya mwanae
HahahaZumaridi aliombea kijana wa kitanzania akaanza kuvunja kama wakojako😂😂😂
Secret society or society of secrets ?Freemason gani hawa? Ni matapeli tu, freemason ni taasisi nyeti na haipati wanachama wake kiboya namna hii, msomeni Sir Andy Chande aliyekuwa mkuu wa Freemason Tanzania ndiyo mtajua freemason ni kina nani na hupatikanaje
😂😂😂😂 Hii nchi utapeli uingizwe kwenye katiba mpya na upitishwe kua halaliTajiri chui Hana masikhara lazima utoe chochote, Yani free mason anahangaika na LAKI MOJA kweli?