Mama Kanumba kumtembelea Lulu gerezani

Huyu mama vipi? Hivi si afanye tu ishu zake mbona anapenda kiki hivi

Hivi anajihusisha na shughuli gani?

alimwambia mama wa mfungwa kua ni msanii,na kuanza kusema mdada huyo alikua akimsema vibaya kwa shukrani za serikali ya awamu hii anaishukru kwa kutenda haki na mzazi mwenza ali nukuliwa akisema miaka miwili ni kidogo !! naona kama si elewi ebu mpeni matangazo kama dr shika -atulie roho yake!!
 
Mbona alipoulizwa swali kwenye TV kipindi cha shilawadu kuhusu hukumu kama ilkuwa sahihi yeye alisema wametoa hukumu ya miaka michache akaulizwa ilitakiwa mingapi ili alidhike akasema walau miaka mitano au kumi sasa kama angukuwa na huruma asinge tamko hilo
 
Huyu mama mchawi juzi hapa kajishaua kufurahi na bia kunywa htafikiri hio miaka miwili itamfanya Kanumba kurudi.
Amesahau ni kanumba ndio aliembaka lulu akiwa kasichana kadogo.
Alianza kumfanya tangu akiwa kisichana.
Dhambi hii ilimfanya lulu kukuwa na kuonekana kama mama kumbe ni msichana.
Mwanae ana kesi ya kujibu
 
Hekima ndogo tu ilikupungukia!Kama Kanumba ulimzaa na Lulu ni mwanao,hakuna mama anaweza kusema eti wanae wawili wakigombana na mmoja wao akafa basi aliyebak akafungwe! Ni kweli haikuwa maamuzi yako,ila ungekaa kimya tu.
 
Baada ya kuona jamii imemtoa thamani ndio anaongea upuuzi huo? Atulie aendelee na shughuli zake, amesahau aliongea nini siku ile mahakamani baada ya hukumu?

Kwani ni lini jamii ilimpa thamani?
umewahi hata kufiwa na paka wako ?ndo ije mtoto tena star aliyekuwa anamtegemea ,kwahiyo angempongeza Lulu kwa kumuua mwanae?
 
Ili aone kama anateseka afurahi au..…....

Aachage unafiki kulia kwa furaha kuwa haki imetendeka Lulu alipofungwa ilikuwa ni nini kumbe....!!!!!!
 
Back
Top Bottom