Last_Kingz
Member
- Oct 27, 2019
- 46
- 31
Ndugu kila mtu afanye anachoamini lakini sio mtu aje kuwakatisha watu tamaa wew kama unaamini hivyo we tulia tuu.Hakuna kitu kama hicho bongo,wewe kama hauna refa ndo basi tena
Ndugu kila mtu afanye anachoamini lakini sio mtu aje kuwakatisha watu tamaa wew kama unaamini hivyo we tulia tuu.Hakuna kitu kama hicho bongo,wewe kama hauna refa ndo basi tena
watu bhna wanapenda sana kushikilia jambo, kwahiyo wote waliopata kazi wana godfather, kuna bahati pia , mdau naona hajaelewa hiloZilizopita kuna washkaji wamesota kitaa miaka 4 wamechakaa hamna wanaemjua popote sote wachimba chumvi na wamepata
Mies simkatishi mtu tamaa kwanza nimejiajiri,hayo mambo nimeshayapitia kitamboNdugu kila mtu afanye anachoamini lakini sio mtu aje kuwakatisha watu tamaa wew kama unaamini hivyo we tulia tuu.
Tuliza mshono we pimbiMies simkatishi mtu tamaa kwanza nimejiajiri,hayo mambo nimeshayapitia kitambo
ok vizuri nduguMies simkatishi mtu tamaa kwanza nimejiajiri,hayo mambo nimeshayapitia kitambo
Ujasiriamali siyo makaliozina wenyewe tayari,komaeni na ujasilia mali tu
Endelea kuwachora watu tu.....Wadogo zangu pamoja na kaka zangu ...mama yetu raisi wa injii amemwaga ajira wale wenye sifa stahiki ombeni..usiseme unajaribu bahati yako..wewe omba kama iliandikwa ule kwa kalamu basi utapata.lakini kama iliandikwa uwe mwanaharakati, mpambanaji na mwamba basi utakosa na maisha mengine yataendelea...
Mm miaka 7 mtaani na nimepata so msikate tamaa ndugu zanguZilizopita kuna washkaji wamesota kitaa miaka 4 wamechakaa hamna wanaemjua popote sote wachimba chumvi na wamepata