Mama kamwaga ajira, mmeona?

Mama kamwaga ajira, mmeona?

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,369
Reaction score
15,158
Wadogo zangu pamoja na kaka zangu mama yetu raisi wa injii amemwaga ajira wale wenye sifa stahiki ombeni. Usiseme unajaribu bahati yako.

Wewe omba kama iliandikwa ule kwa kalamu basi utapata. Lakini kama iliandikwa uwe mwanaharakati, mpambanaji na mwamba basi utakosa na maisha mengine yataendelea.
 
Wadogo zangu pamoja na kaka zangu ...mama yetu raisi wa injii amemwaga ajira wale wenye sifa stahiki ombeni..usiseme unajaribu bahati yako..wewe omba kama iliandikwa ule kwa kalamu basi utapata.lakini kama iliandikwa uwe mwanaharakati, mpambanaji na mwamba basi utakosa na maisha mengine yataendelea...
Ziko wapi
 
hii mentality sidhani kama ni vizuri kuiweka sana akilini, maana sasa hakuna kazi utaomba kisa kuwa zinawenyewe, yaweza kuwa upo sahihi ila ni vyema mtu aombe mana kuna bahati pia.
Hakuna kitu kama hicho bongo,wewe kama hauna refa ndo basi tena
 
hii mentality sidhani kama ni vizuri kuiweka sana akilini, maana sasa hakuna kazi utaomba kisa kuwa zinawenyewe, yaweza kuwa upo sahihi ila ni vyema mtu aombe mana kuna bahati pia.
Zilizopita kuna washkaji wamesota kitaa miaka 4 wamechakaa hamna wanaemjua popote sote wachimba chumvi na wamepata
 
Back
Top Bottom