Mama Kamkataa Mchumba Wangu

haki ya nan yaani ww shukuru mungu nakuheshim ningeku...
 

Alifikiria ya Ufoo Saro!!
 
mkuu nimesoma uzi wako bahati nzuri au mbaya nimekuja kumtembelea bimkubwa wangu nikamsomea jinsi ulivoandika yeye amenijibu amesema msikilize bimkubwa wako!!!

Wengine mna bahati mbaya sana. Mungu aendelee kumbariki sana bimkubwa wangu. Sijawahi kuona mama bora kama mama yangu. Upuuzi wa kumchagulia mwanae mwenza hajapata hata kuuwaza.
 

ndoa za jamii za kiafrica, ni muunganiko wa familia 2 na sio watu 2 tu.
 
Hujashikwa vizuri na huyo binti wa kichaga,! Angekukamata vyema wewe ungetia pamba masikioni usisikie lolote mpk umweke ndani. Pole sana kwa kuwa na bi mkubwa wa aina hiyo..kwetu sisi tulijaaliwa kuwa na wazazi wenye kutuskiliza mawazo yetu na kutushauri inapobidi lakini sio kutumia u bi mkubwa kutupangia namba ya kuishi na wenza wetu.
Samahani. .kwani bi mkubwa kabila gani??
 
mkuu fanya maamuzi mwenyew coz mke utaenda ishi nae mwenyewe.huyo mchag umekaa nae mwenyew n wew mwenyew ndiy unayemjua na co mama yako..Baadae ucje ukamlaumu m2 bt ujilaumu mwenyew kwa uamuzi wa kumuacha au kuendelea nae mwenyew.No 1 z perfect brother.Ni hayo 2
 
wazazi nao wanahaki ya kusikilizwa.pande za wakina nje ya box 118
 
wazazi nao wanahaki ya kusikilizwa.pande za wakina nje ya box 18
 
ni maamuzi magum ndio maana nataka ushauri ulio bora
 
this is too much,

mama anaogopa kuhamishwa mali?

mwambie awaze pia kuletewa maradhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…