Mwanawalwa
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,014
- 301
tafadhali lugha yako...sisi sio wezi
elewa lakini bimkubwa kanibeba 9mnth na kanilea hadi hapa nilipo,its my hard timemarriage have got nothing to do with anyone's tribe ,kwani bimkubwa ndo ataishi na huyo yf wako ? mulize bimkubwa akupe sababu tano za kutomtaka bidada wakichaga kama they sound poa , if you got a good yf marry her no need of worrying bana life its self uncertain only death is certain.
elewa lakini bimkubwa kanibeba 9mnth na kanilea hadi hapa nilipo,its my hard time
jamani mi humu ndani sina hata wiki mbili nashindwa kuwaelewa
Kwani mna mali kiasi gani?
mama ndo kanizaa,sijui mwenzangu uliyezaliwa na baba
elewa lakini bimkubwa kanibeba 9mnth na kanilea hadi hapa nilipo,its my hard time
mi nataka ushauri na wala si risala uelewe hilo
tafadhali lugha yako...sisi sio wezi
Habari wana jf,
J/pili yangu imekuwa mbaya kwa kweli.Nina mpenzi wangu yapata mwaka sasa ila sikuwahi kumtambulisha kwa ndugu yangu yeyote,mpenzi wangu ni Chagga girl,hivyo basi nikaona nimfanyie Suprise ya kiaina bimkubwa nikamtambulishe amjue mkwe wake nikamvutia waya bimkubwa alifurai sana,akaniuliza KABILA GANI?nikamwambia ni MCHAGGA,Daah!!nilichoka kwa kweli namnukuu,"tena ishia hapohapo na kama mko njiani geuza mlipo toka unatuletea mchaga unataka aje ahamishe mali zote kwao,tena sitaki kusikia hizo habari"mwisho wa kumnukuu ila ma bby hakusikia chochote nikavunga kwamba bimkubwa hayupo hom yupo mbali 2kaback at home.Ushaur pliziiiiiiiiii nampenda sana huyu dem na Bimkubwa nampenda kuliko maelezo