Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 810
Habari wana JF
J/pili yangu imekuwa mbaya kwa kweli. Nina mpenzi wangu yapata mwaka sasa ila sikuwahi kumtambulisha kwa ndugu yangu yeyote. Mpenzi wangu ni Chagga girl, hivyo basi nikaona nimfanyie Suprise ya kiaina bimkubwa nikamtambulishe amjue mkwe wake.
Nikampigia simu mama alifurahi sana, akaniuliza kabila gani? nikamwambia ni mchaga, nilichoka kwa kweli namnukuu, tena ishia hapohapo na kama mko njiani geuza mlipo toka unatuletea mchaga unataka aje ahamishe mali zote kwao.
Tena sitaki kusikia hizo habari"mwisho wa kumnukuu ila my baby hakusikia chochote nikavunga kwamba bimkubwa hayupo home yupo mbali.
Ushauri please nampenda sana huyu msichana na mama nampenda kuliko maelezo.