kuwa specific anampiku nini, umri, watoto, weupe, weusi, ukubwa wa titi, idadi ya meno au idadi ya watoto
Anyway Mods rudisheni heshima ya jamiiforums kama kipindi cha 2010 wakati tunajiunga, hawa watu wanaoshinda wanapost u.pupu kila dakika mnawaacha na kuacha thread zao mnashusha hadhi ya jamii forums, zamani kila aliyekuwa na acess ya mtandao alikuwa ni mtu anayejitambua, tangu kuwepo kwa vifurushi vya kifalasi falasi, kichuochuo pumba zinazidi jukwaani.
mods mpe huyu kiumbe Baan arudi baada ya uchaguzi