Mama Janeth Magufuli, ulikuwa wapi leo?


Kuna mtu ametukumbusha kua alifiwa na mjukuu wiki iliyopita hivyo tusimlaumu sana .
 

Mwacheni first lady wetu. Ni juzi tu kafiwa na mjukuu mnadhani ana roho ya chuma.
 
Muacheni Magufuli a seek his own course... Its not divinical..
 
Sidhani hapa Tanzania kama kuna mjinga zaidi ya Mbowe.

Samahani lakini. Jinsi ulivyo na chuki na Mbowe kiasi kuwa hata kama watu wanazungumzia jambo lisilomuhusu inanifikirisha sana. Kama Mbowe angekuwa anatokea maeneo ya Mombasa ningeamini kabisa aliwahi kukushikisha ukuta na akakurusha malipo.
Lakini yeye sio wa aina hiyo jee chuki ya nini dada Hamida? Au shemeji kesha kujaza na embe mbichi hazipatikani ndio chanzo cha hasira?
Acha nikuagizie gunia kabisa toka Sikonge
 
Last edited by a moderator:
Inaelekea JPM anastyle tofauti. As long haingilii utendaji wake wa kazi. Mimi namchukulia poa. Tuheshimu uamuzi wao.
 

Dada Hamida kifua kizima kimemjaaa mbowe. Usisahau kumwagizia na gunia la ndimu...tehe tehe tehe
 
Last edited by a moderator:
Tukijadili hotuba ya rais mimi na jirani yangu,tumejiuliza kwa dhati hili swali
 
Labda bado anaji-adjust hakuzoea kuonekana onekana kwenye public
 
Hivi mbowe keshamaliza mgogoro wa ndoa yake? Maana yule mkewake daktari ilibidi akimbie nyumba. Halafu mbowe angalau siku moja moja uwe unatoka na mkeo kwenye mambo ya kitaifa unadhani wanachadema wanakuelewaje wewe kama kiongozi wao?
 
Tulimchagua magufuli nasi mke wake au familia yake

Kweli kabisa huyu Rais anaweza kuondoa huu mfumo mbaya ambao Enzi za Nyerere haukuwepo. Eti mke wa Rais naye anafanya ziara za kiserikali...na kujiona pia ana haki ya kukemea na kutoa amri kwa niaba ya serikali...
 

Binti Chakaza,

Kwani nimekosea kumuita Mbowe mjinga nambari wani Tanzania? Mbona nipo sahihi. Huoni jinsi anavyo inajisi CHADEMA na kukifanya kiwe chama cha hovyo? Dr Slaa ameweka nguvu kubwa kukijenga CDM lakini kwa tamaa ya pesa ya ufisadi Mbowe anakiua CDM.
 
Last edited by a moderator:

Umeambiwa kazi 2 usiwe wa kijiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…