Mama Janet Magufuli

Mama Janet Magufuli

Last edited by a moderator:
Mama Nyerere kumbe kungwi mzuri, kabla ya yale mawasiliano ya whatsup huyu dada hakuwa hewani kabisa. Hongera mama Maria
 
Unaonyesha usivyo aibu kama muuza mwili tumia busara
Mama Lowassa alivyokurupuka majukwaani kwa kupenda pesa za UFISADI amekuwa kama CHANGUDOA.

Mama Janet Magufuli yeye anapendeza kisura na anaonekana muungwana.
 
Unaonyesha usivyo aibu kama muuza mwili tumia busara

Maswali Mawili;
  1. Je Mama Lowassa hapendi pesa ya Ufisadi wa Mumewe?
  2. Je Mama Lowassa hakukurupuka kukimbilia majukwaani ili kutetea pesa yao kama Changudoa anavyokimbilia pesa?

Mama lowasa anampenda mumewe na sio pesa pili huo ufisadi wa lowasa ni upi? mbona hamuweki wazi ni aina gani? kama wewe kweli upo huku kwa utashi wako sio kama nilvyo tangulia kukueleza Richmond ina mwenyewe na umeelezwa ni ya mwenyekiti hajibu una hitaji nini?
2 Mama salama alipomkampeni jakaya pamoja na Ridhiwani walikurupuka? sipendi kutumia maneno yako ya kifedhuli unayotumia.
Katika kitabu cha mwalimu mkuu wa watu sura ya kwanza inasema hivi kwa msaada wako> MWALIMU MKUU alipenda kuwahimiza wanafunzi kufanya kazi akiwaambia siku zote kuwa uvivu ni sawa na pesa haukifu. Na ndani ya kichwa cha mtu mvivu ndimo ilimo karakana ya shetani mtu mvivu ni sawa na jiwe lilopakwa mavi, mvivu hana haki ya kula chakula. Ila kitabu huleta elimu ,maarifa lakini ni maisha yaletayo ujuzi.nikutakie wakati mwema
Maswali Mawili;
  1. Je Mama Lowassa hapendi pesa ya Ufisadi wa Mumewe?
  2. Je Mama Lowassa hakukurupuka kukimbilia majukwaani ili kutetea pesa yao kama Changudoa anavyokimbilia pesa?
 
ivi uwez changia mpaka kukashifu, hivi watu wengine mmeumwaje? We mama ako yukoje, utajisikiaje ukiona mtu anamkejeli ma ako, kua na nidham japo kias.

Acha kulialia wewe nyie hamkashifu humu ndani?
 
Mama lowasa anampenda mumewe na sio pesa pili huo ufisadi wa lowasa ni upi? mbona hamuweki wazi ni aina gani? kama wewe kweli upo huku kwa utashi wako sio kama nilvyo tangulia kukueleza Richmond ina mwenyewe na umeelezwa ni ya mwenyekiti hajibu una hitaji nini?
2 Mama salama alipomkampeni jakaya pamoja na Ridhiwani walikurupuka? sipendi kutumia maneno yako ya kifedhuli unayotumia.
Katika kitabu cha mwalimu mkuu wa watu sura ya kwanza inasema hivi kwa msaada wako> MWALIMU MKUU alipenda kuwahimiza wanafunzi kufanya kazi akiwaambia siku zote kuwa uvivu ni sawa na pesa haukifu. Na ndani ya kichwa cha mtu mvivu ndimo ilimo karakana ya shetani mtu mvivu ni sawa na jiwe lilopakwa mavi, mvivu hana haki ya kula chakula. Ila kitabu huleta elimu ,maarifa lakini ni maisha yaletayo ujuzi.nikutakie wakati mwema

Kama leo hii mnasema Lowasa si fisadi basi ukweli ni kuwa Ukawa ni waongo na wazandiki wakubwa mwaka 2008 mliposema ni fisadi na ushahidi mnao (Tundu lisu) huo ushahidi wenu uko wapi?
 
Kila siku mafarisayo ni mafarisayo mimi sihitaji kutoka kwa lisu. kwanza mimi sio ukawa wala ccm mimi nipo jukwaa la mwalimu forum.Nipe uthibitisho au maandishi yanayoonyesha lowasa ndio Richmond, kama huna basi huna tofauti na dr mihogo maana alisema ana docs lakini hazitoi, mimi nawashauri tafuteni kingine sahauni richmond tujipange kwa uchaguzi mchana mwema
Kama leo hii mnasema Lowasa si fisadi basi ukweli ni kuwa Ukawa ni waongo na wazandiki wakubwa mwaka 2008 mliposema ni fisadi na ushahidi mnao (Tundu lisu) huo ushahidi wenu uko wapi?
 
12019795_127725584247535_8281590093232502426_n.jpg

12042672_127725597580867_6518419052002589222_n.jpg

12036462_127725627580864_4089242882749514356_n.jpg

Mama yetu Janet Magufuli akitema sera za CCM

Huyu Ndiyo First Lady Wetu Watanzania Siyo Yule Mwenye FUVU Na KOMWE.
 
Lakini huyu mama mzuri

Umeniwahi Mkuu. Kwa Jinsi Regina Alivyo Nasty Hafai Hata Kuwa House Girl Wa Mama Janet. Mama Janet Magufuli Ni Very Photogenic Hadi Naanza Kumuonea Wivu Rais Wangu Ajaye Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
 
Tuache matusi wakuu kwa hawa wa - mama kisa tu itikadi za vyama. 90% ya kesi za kupigana kipindi nikiwa mdogo zilisababishwa na mtu kuwatusi wazazi wangu ... Yaani hapo sina uvumilivu kabisa. Anyways, amependeza but anaonekana kama ana - force tabasamu..!

Mbona Hata Wewe Pia Huwa Una Force Kutoa Haja Kubwa Yako?
 
kuna watu humu wazee wa kuukimbia ukwel watasema na huyu mama amenunuliwa kama walivosema kwa dokta na prof. na twaweza!!
 
yaani inasikitisha sana kuona watu name akili zao wanajadili kuhusu mke wa mgombea kupanda jukwaani badala ya kujadili ilani za vyama,huyo mke wa mgombea anapanda jukwaani kufanya nini?
huku ndiko nchi ilikofikia ndio maaana vipaumbele vya lowassa ni elimu elimu elimu
 
Kubwajinga;Mama Lowassa alivyokurupuka majukwaani kwa kupenda pesa za UFISADI amekuwa kama CHANGUDOA.

Mama Janet Magufuli yeye anapendeza kisura na anaonekana muungwana.

Acha matusi wewe kisa siasa imagine mzazi wako anaambiwa hayo uyasemayo acha uboya
 
Back
Top Bottom