ivi uwez changia mpaka kukashifu, hivi watu wengine mmeumwaje? We mama ako yukoje, utajisikiaje ukiona mtu anamkejeli ma ako, kua na nidham japo kias.
Hana tofauti na shetani
ivi uwez changia mpaka kukashifu, hivi watu wengine mmeumwaje? We mama ako yukoje, utajisikiaje ukiona mtu anamkejeli ma ako, kua na nidham japo kias.
Alikuwa wapi muda wote huo? Au ndiyo kujibu mapigo ya Mkuu VUTA-NKUVUTE humu:https://www.jamiiforums.com/uchaguz...janeth-magufuli-agoma-kukampeni-acharuka.html
Na anajua mapozi...kaanza kukaa kimiss miss...ki queen queen...shurti kujikusanya....ha ha ha...wajanja tu ndo watanielewa...
The next first laaaaddddyyyyyy....hutaki jinyonge
Mama Lowassa alivyokurupuka majukwaani kwa kupenda pesa za UFISADI amekuwa kama CHANGUDOA.
Mama Janet Magufuli yeye anapendeza kisura na anaonekana muungwana.
Unaonyesha usivyo aibu kama muuza mwili tumia busara
Maswali Mawili;
- Je Mama Lowassa hapendi pesa ya Ufisadi wa Mumewe?
- Je Mama Lowassa hakukurupuka kukimbilia majukwaani ili kutetea pesa yao kama Changudoa anavyokimbilia pesa?
ivi uwez changia mpaka kukashifu, hivi watu wengine mmeumwaje? We mama ako yukoje, utajisikiaje ukiona mtu anamkejeli ma ako, kua na nidham japo kias.
Mama lowasa anampenda mumewe na sio pesa pili huo ufisadi wa lowasa ni upi? mbona hamuweki wazi ni aina gani? kama wewe kweli upo huku kwa utashi wako sio kama nilvyo tangulia kukueleza Richmond ina mwenyewe na umeelezwa ni ya mwenyekiti hajibu una hitaji nini?
2 Mama salama alipomkampeni jakaya pamoja na Ridhiwani walikurupuka? sipendi kutumia maneno yako ya kifedhuli unayotumia.
Katika kitabu cha mwalimu mkuu wa watu sura ya kwanza inasema hivi kwa msaada wako> MWALIMU MKUU alipenda kuwahimiza wanafunzi kufanya kazi akiwaambia siku zote kuwa uvivu ni sawa na pesa haukifu. Na ndani ya kichwa cha mtu mvivu ndimo ilimo karakana ya shetani mtu mvivu ni sawa na jiwe lilopakwa mavi, mvivu hana haki ya kula chakula. Ila kitabu huleta elimu ,maarifa lakini ni maisha yaletayo ujuzi.nikutakie wakati mwema
Kama leo hii mnasema Lowasa si fisadi basi ukweli ni kuwa Ukawa ni waongo na wazandiki wakubwa mwaka 2008 mliposema ni fisadi na ushahidi mnao (Tundu lisu) huo ushahidi wenu uko wapi?
![]()
![]()
![]()
Mama yetu Janet Magufuli akitema sera za CCM
Lakini huyu mama mzuri
Huyu Ndiyo First Lady Wetu Watanzania Siyo Yule Mwenye FUVU Na KOMWE.
Tuache matusi wakuu kwa hawa wa - mama kisa tu itikadi za vyama. 90% ya kesi za kupigana kipindi nikiwa mdogo zilisababishwa na mtu kuwatusi wazazi wangu ... Yaani hapo sina uvumilivu kabisa. Anyways, amependeza but anaonekana kama ana - force tabasamu..!