Kabla sijakupa dozi sahihi toa maelezo yako kwa tabibu mimi kwa kunijibu maswali haya yafuatayo....
1÷wewe kwenu mumezaliwa wangapi
2÷wewe kwenu ni kijana wa kiume wa pekee
3÷mama yako amekulea katika malezi gani...single mom au kuna baba pia
4÷mpenzi wako ana umri gani je pia mpenzi wako ana mtoto kazaa na mwanaume mwingine
5÷imani ya mpenzi wako na wee iko sawa...yako ni siku moja au tofauti
6÷mpenzi wako elimu yake iko aje na ametoka katika familia ya kitajiri au kimaskini kuliko familia yako
7÷mpenzi wako ni kabila gani
8÷mpenzi wako anavaa au swag za aina gani
9÷mpenzi wako anaishi mtaa mmoja na wewe
10÷familia yako na ya mpenzi wako wameishawahi kuwa na tofauti au morogoro ya sina yoyote.
Jibu maswali yangu nikupe ushauri mujarabuu kabisa.