Mama hamtaki mchumba wangu

Mama hamtaki mchumba wangu

........wewe unampenda yupi?mama au mchumba?
 
bado hujajibu swali la elimu na uwezo wa familia zenu mbili kiuchumi....nisaidie jibu tafadhali.
Kuhusu elimu kwa upande wetu. Watu wamesoma sana, wamefika vyuo vikuu. Ila kwa upande wa mwanamke hawaja fika ngazi za juu kielimu.
Na kiuchumi kwa familia yetu , uchumi ni level ua kati.. nikimaanisha si matajiri sana.
Kwa upande wa mwanamke uchumi wao si mzuri.. ni watu wa hali ya chini kias fulani.
 
Nitafanya hivyo ndugu.
Msimamo wa baba hana noma kabisa. Nilishawahi kumwambia na akasema tu niwe makini. Lakini mama ndio amekuwa kikwazo?
Ndoa ni yenu wawili,mzazi hutoa ushauri tu na sio kuiingilia labda kutokee tatizo kubwa.
 
Kuhusu elimu kwa upande wetu. Watu wamesoma sana, wamefika vyuo vikuu. Ila kwa upande wa mwanamke hawaja fika ngazi za juu kielimu.
Na kiuchumi kwa familia yetu , uchumi ni level ua kati.. nikimaanisha si matajiri sana.
Kwa upande wa mwanamke uchumi wao si mzuri.. ni watu wa hali ya chini kias fulani.

elimu ya mchumba wako ni level gani? sorry kwa maswali yangu ya kipolisi..am trying to dig out the root for your problem
 
mimi ndie wakiume.. na ni wa kwanza.

Hapa chini umesema kuna wa kiume mwingine...

- nyumbani mimi ndie wa kwanza
-nyumbani tumezaliwa watatu, wakiume wawili ,wakike mmoja

Mimi nadhani sio kwamba ulitaka kumuoa huyo binti Novemba au Desemba labda...kwa kuwa bado mnaonekana mna umri mdogo (hasa kwa binti) ni rahisi kwa mama kuwa na hofu. Kibongobongo miaka 22 ni midogo mno kuwa na uhakika wa maturity ya mtu...lakini kadri siku zinavyoenda hali inabadilika.

KAMA katika mipango yenu bado mna muda kabla hamjawaza kufunga ndoa...basi endeleeni na mipango yenu mingine kila mtu ajijenge kiuchumi, kielimu nk nk...muda uatakapofika haswa na mama kuona kuwa bado mpo pamoja ni rahisi kushawishika kuona mpo serious...mtoto kwa mama hakui na si kila anapokataa basi anakuwa na sababu yoyote, ni hofu ya mzazi.

Mpeni muda wakati mnaendelea na mambo mengine...!
 
Secondary.. form 4
mama yako anajua hilo...kuwa mpenzi wako ni form 4 na pia family yake hawako kiviiile kiuchumi?...frankly speaking ulivyokwepa kulijibu hili swali langu mwanzoni kabisa nilihisi ulikuwa umemaanisha na makusudi kabisa.....HAPA NDIO NAPOUONA MZIZI WA TATIZO NA PIA NAONA TATIZO LIPO KWENYE KABILA LA MPENZI WAKO....kuwa muwazi katuka swali hili nikupe mbinu za kutok kwenye tatizo hili. je mama anajua mkeo mtarajiwa ni form four?
 
Anafahamu fika.. nilishawahi kumweleza
 
Huyo binti kwenye ukoo wao kuna historia ya kuwa na matatizo ya kifafa, ukoma, sikoseli, uchawi au alibino?
 
Mama akishakataa whether awe na reason or not hakuna ndoa hapo.....move on bro no way out sana sana utajisababishia matatizo2 huwezi kushindana na MTU aliekuleta duniani....Mama ndio ngao ya maisha yetu....
 
Sawa namuheshimu... but she is human too. kama wanadam wengine kuna makosa ya hapa na pale.. sisemi kuwa yuko right au yuko wrong but kwa nn nikihitaji majib huwa ananikwepa au kumumunya maneno?
 
Ulivyo taja kabila la huyo mpenzi wako nipo tayari kusimama upande wa Mama yako!

Nipo tayari kumsupport Mama yako hata mkifunga ndoa kwa nguvu itakuwa batili!
 
Hahaha nawaza tu kama mama wa kichagga..

Binti:
22
Mkurya
Form IV
kwao sio vizuri kiviile kiuchumi.

well...

mkuu i think umesoma katikati ya mistari na kuelewa tatizo liko wapi...
1- mama anahofia chaguo la mwanawe na kwa vile ni first born tena wa kichaga....hapendi atoe boko. kwa wachaga mtoto wa kwanza wa kiumme "mmbele" huwa ndio symbol ya ukoo na familia pia.....dogo mzazi hataki kuharibu image ya ukoo. dogo unao wajibu wa kuonyesha kwa mama yako kuwa wewe ni kidume na hakuna mwanamke wa kuku-brainwash ukasahau majukumu yako kama kijana wa kiume wa kichaga na hasa wa kwanza..nguzo ya familia.

2- mkurya sio tatizo sana ila umesema ana misimamo kwelikweli....hapa napo naliona tatizo...misimamo kwa mwanamke wa kikury inaitwa "kiburi" kwa watu wa makabila mengine...ndio maana mama anaona huyu mkeo atakuwa dominant kwa vile ni kiburi..na wewe mchaga hujui kupiga na kuchapa kama wanaume wa kikurya....mama anayo haki ya kukutetea mwanawe ila pia wewe unao wajibu wa kumwambia mchumba wako juu ya cultural diferences and perceptions za baadhi ya tabia zake. mama anahofia mpora asije kumchapa vibao akija kukutembelea mwanawe.

3- hili la form 4 nalo ni tatizo kwa mama...nadhani hata kwako baadae linaweza kuwa tatizo kama hutokubali kufanya yafuatayo...muendeleze kielimu atleast awe na diploma yoyote...pia mueleweshe mama nia hiyo ya kumuendeleza.
 
Back
Top Bottom