Mama Fatma Karume ashangazwa Makonda kuondolewa mkuu wa mkoa

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mke wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abeid Karume, Mama Fatma Karume amesema amepokea kwa mshtuko taarifa ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 23, 2025, hususan kuondolewa Paul Makonda kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Akizungumza leo Juni 24, 2025 katika Jukwaa la Wanawake lililofanyika jijini Arusha, Fatma amesema;

“Nilishtuka sana… mmh basi, lakini mwanasiasa ni mwanasiasa tu. Nikapata habari nikawaambia nikakumbuka pia, hayo yapo… lakini nataka niseme neno moja, sijui ni siri? (akiimba) Tunae na Makonda tunae mkoa huu… na koti tutamvika… tutampeleka kwingine atusemee mkoa huu,” amesema huku ukumbini washiriki wakiangua vicheko.

Soma,pia: Mama Fatma Karume amtembelea RC Makonda, aongoza dua nzito kumuombea kheri

Chanzo: Mwananchi​
 
Vijana ccm - mkuu wa wilaya - mkuu wa mkoa - mbunge - waziri - next ?
 
View attachment 3381401
Chanzo: Mwananchi​
Alitaka afie hapo?
 
Sasa mama yetu ,ameshangazwa na nini ,aliemuondoa ndie aliemchagua, na wenda ndie anaenda kumpa mamlaka makubwa zaidi kuliko aliyokua nayo sasa .mama atelie na kuendelea kula pesa za ruzuku za wenza wa viongozi
 
Mke wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abeid Karume, Mama Fatma Karume amesema amepokea kwa mshtuko taarifa ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 23, 2025, hususan kuondolewa Paul Makonda kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Akizungumza leo Juni 24, 2025 katika Jukwaa la Wanawake lililofanyika jijini Arusha, Fatma amesema;

“Nilishtuka sana… mmh basi, lakini mwanasiasa ni mwanasiasa tu. Nikapata habari nikawaambia nikakumbuka pia, hayo yapo… lakini nataka niseme neno moja, sijui ni siri? (akiimba) Tunae na Makonda tunae mkoa huu… na koti tutamvika… tutampeleka kwingine atusemee mkoa huu,” amesema huku ukumbini washiriki wakiangua vicheko.

Soma,pia: Mama Fatma Karume amtembelea RC Makonda, aongoza dua nzito kumuombea kheri
View attachment 3381401
Chanzo: Mwananchi​
Huyu mama naye ponjoro?
 
aende zake, arusha siyo kwao, si kwa wazanzibari ni kwa watanganyika
 
Hajui kwamba kaondolewa kwa sababu anaenda kutafuta nafasi ya kugombea ubunge.
 
😍😍
 
wanamsumbua tu...Wamuache apumzike... siku mama Maria Nyerere akipanda jukwaani itakuwaje ?
 
Namuonea huruma aliyekubali kuwa RC Arusha kwa wakati huu, ogopa sana kuwa RC mkoa ambao aliyetoka ni MAKONDA...hata ukifanya jambo zuri vipi huo mkoa Wala huonekani kama umefanya jambo la maana, hakuna jicho litakuona unafanya jambo...yule jamaa sijui yukoje asee
 
Kwani hakujua kwamba walitangaziwa kuwa anayetaka ubunge achie nafasi ijazwe haraka na mwingine?
 
Back
Top Bottom