witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,769
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata sijui mi pia nimeshangaa ukute kashatukana mtu huko[emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata sijui mi pia nimeshangaa ukute kashatukana mtu huko[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kumbee duhBinamu ESMA yuko lock up kakamatwaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]anauza vipodozi feki
Mama Sabrina hana maana yule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu anisamehe sifurahii mabaya ya mtu ila huyu mama ajifunze kuheshimu watoto wa wanawake wenziwe wotee!!anawadhalilisha sana kujifanya yeye ndo kila kitu!Kumbee duh