Si story mkuu ni habari ambayo ilitangazwa hata kwenye radio,mtu wa kwanza kuniambia alikuwa mfanyakazi mwenzangu nilimbishia kabisa,wa pili akawa muuza duka naye nilimbishia ikabidi nimpigie jamaa yangu ni askari surrenderbridge,yeye alianza kunihadithia hata kabla sijumuulizia mwisho nikaja kuprove kwenye kipindi cha jahazi cha clouds.Ni kisa cha kushangaza sana.Stori ya abuwasi
Si story mkuu ni habari ambayo ilitangazwa hata kwenye radio,mtu wa kwanza kuniambia alikuwa mfanyakazi mwenzangu nilimbishia kabisa,wa pili akawa muuza duka naye nilimbishia ikabidi nimpigie jamaa yangu ni askari surrenderbridge,yeye alianza kunihadithia hata kabla sijumuulizia mwisho nikaja kuprove kwenye kipindi cha jahazi cha clouds.Ni kisa cha kushangaza sana.
Inawezekana unachosema mkuu,maana sources zangu zote ni hearsay,lakini nilichokuwa najiuliza ni kwa vipi hii habari isambae hivi,au ndo kama ya babu seya na JK.Hassani,
Take it from me, hiyo habari sio ya kweli na haitakaa kuwa ya kweli. it is basically a hoax!
Mhhhhhhh!!!!Inawezekana unachosema mkuu,maana sources zangu zote ni hearsay,lakini nilichokuwa najiuliza ni kwa vipi hii habari isambae hivi,au ndo kama ya babu seya na JK.
mhh!! nini flower?Mhhhhhhh!!!!
inasambaa haraka ni kwasababu ya jamii inataka kusikia miujiza, maluweluwe, ajabu na kila ushenzi,Wakuu hii kitu haijatokea kabisa na haipo story imetungwa hiyo.