Mama Anna Makinda na Youtong zake nane...!

Do you mean alipoanza kukalia kile kiti alikuwa na "zero" credit au credit worthness?!, hujui kuwa youtong moja haifikii bei ya shanging moja la mbunge?!, amekaa miaka mingapi bungeni?!, unamaana kabla ya kuwa mbunge alikuwa hana hata cent?!.
Tumekwisha hata huyu naye yumo? This is within one year? Mpaka atoke si atakuwa ameaanzisha shirika la ndege au hata benki? Ninavyofaham mimi yuotong moja is not less than million mia moja na arobain 140,000,000/= kwa hiyo ukizidisha mara 8 yaani 140,000,000*8=1,120,000,000/= yaani bilion moja na milioni mia moja na ishirini na sasa ana mwaka mmoja tu kazini inamaana kila mwezi amesave milioni 93 point something kwa ajiri ya kununua haya mabasi. Swali ni je analipwa shilingi ngapi? Au kama ameyakopa amepata wapi security ya kumuwezesha kukopa mali zote hizo wakati sisi huku mtaani hata ukitaka kukopa milion kumi tu unaambiwa lete hati ya nyumba na wakiithaminisha watakwambia thamani yake ni milion 6! Help us God
 
Kitu mnachoshindwa kuelewa ni kuwa anadhaminika. Na hayo mabasi ukidhaminika hata wewe unapewa.

We Mbweha, kudhaminika ni kuwa na dhamana [security] sasa huyu ALIKWINA ana dhamana gani uzijuazo wewe kuweza kutoa mabasi nane kwa mpigo huku ana madeni mengine lukuki benki? Kama sio ufisadi ni nini basi!
 
Tatizo ni nini? Makinda amekuwa mtumishi wa umma kwa muda gani? Hivi kwa level ya kipato cha makinda kwa miaka yote hii angeshindwa kuwa na bilion kadhaa? Acheni wivu nyie.

Kwa mshahara wa shilingi ngapi kwa mwezi mkuu?
 
Mhhhh !!!! nashindwa kuwatofautisheni na maisha ya familia ya mtu mwenye zaidi ya mke mmoja (wake wenza) kwani kutoka kwa mleta mada mpaka kwa wachangiaji spati picha kama issue ni youtong ama usipika. Nadhani ingekuwa vema kumjadili mtu kwa msingi wa namna aliopatia mali ktk maana ya uhalali wa mali pasipo kuwa bias. leo hii sote tunafahamu maslahi makubwa wakuu wetu walivyojilimbikizia kwa kulinganisha na yale ya kima cha chini, hivi kama tu mbunge ana net pay ya 7.5m/= spika ana ngapi?.

si kweli kuhusu mshahara wa mbunge. net pay ni around mil 1.5 baada ya makato ya kodi. kwa mujibu wa waziri mkuu!
 
Kitu mnachoshindwa kuelewa ni kuwa anadhaminika. Na hayo mabasi ukidhaminika hata wewe unapewa.

i wish yangeitwa MAKINDA CLASIC,OR COACH/trans,or whatever,ku2mia jina la kampun nyingne,unaficha nini?hapo ndo pana mashaka dadangu!
Eid njema!
 
Tatizo ni nini? Makinda amekuwa mtumishi wa umma kwa muda gani? Hivi kwa level ya kipato cha makinda kwa miaka yote hii angeshindwa kuwa na bilion kadhaa? Acheni wivu nyie.

utumiaji wa kampun nyingne nalo tatzo!unadhan ataweza kusema ni mali zake pale kwenye 4m za u2mish wa umma
 
Ngoja nifanye makeke ya kumbandika mimba, mwanangu naye ale neema ya nchi

Mie ntaenda kuona mwanaye pekee wa kike ili mother akivuta kamba mie ndo nakuwa mkurugenzi wa mabas yote ya urithi
 
mwishowe yanakuja kuwa kama ilivyokuw scandinavian express, aibu tupu
 
Uspika ndani ya mwaka mmoja keshafisadi mapene marefu namna hiyo? Kweli ccm hakuna msafi
 
FF!
KUDHAMINIKA WITH WHAT COLLATERAL? Naamini anaweza kudhaminika kwa kiasi fulani but not kiwango hicho kinachopigiwa hsabu 1.6billions! Hyo si mchezo sister FF
Kitu mnachoshindwa kuelewa ni kuwa anadhaminika. Na hayo mabasi ukidhaminika hata wewe unapewa.
 
Sio kweli, Mama Makinda hana share mle, yale mabasi ni yake Msigwa@Super Feo.yupo kwa biashara muda mrefu anadhaminika, jambo lingine tambueni Yutong/mabasi ya kichina ndo yanaingia sokoni so wachina wanakopesha tu ili kuyasambaza sokoni. Kwa muda mrefu TZ tumekuwa na mentality kwamba Scania ndo gari imara ndio maana wanayatawanya kujitangaza japo pia kufanya biashara. Huyu mama dhaifu wa kuendesha Bunge kwa hili hayumo kabisa!
 
Back
Top Bottom