Mama anatoka lini heda?

Heda ndiyo nini? πŸ€”

Halafu Platinum member kabisa 😩ni huzuni πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kukosea kupo ni sawa na wewe ulikuwa umeandika Afu badala ya Halafu. Japo matumizi ya H NA A kuna baadhi yanawasumbua kwa sababu za lugha mama. Kwa wewe kuandika afu badala ya halafu ni swala la kimazoea
 
Mleta mada asikoselewa kwa kukosea ku-type wakuu, tukumbuke ulimi hauna mfupa, na vidole havina mifupa migumu.
 
Kukosea kupo ni sawa na wewe ulikuwa umeandika Afu badala ya Halafu. Japo matumizi ya H NA A kuna baadhi yanawasumbua kwa sababu za lugha mama. Kwa wewe kuandika afu badala ya halafu ni swala la kimazoea
Sahihi kabisa nakubaliana na wewe Mkuu
 
Kukosea kupo ni sawa na wewe ulikuwa umeandika Afu badala ya Halafu. Japo matumizi ya H NA A kuna baadhi yanawasumbua kwa sababu za lugha mama. Kwa wewe kuandika afu badala ya halafu ni swala la kimazoea
Huyo wa heda hajakosea kuandika ila hajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…