Mama ana chawa wake?

Unafanya kazi gani?"

"Mimi ni chawa wa mama"

"Unalipwa shilingi ngapi?"

"Nitalipwa uDC au uDED"

"Hongera chawa"

"Thanks bro"
***************

Ndipo tulipofikia kama taifa!
 
Mama ana 'chawa wake', jichanganye wakuvae mwili, 'utajikuna wewe mpaka utoke ngozi'
Karuhusu mikutano na ku balance isilete MATOKEO hasi kwake!

Good move,tutarajie wapinzani kuwa loyal kwa kiti!

Mungu IBARIKI NCHI YANGU TANZANIA niipendayo Sana
 
Karuhusu mikutano na ku balance isilete MATOKEO hasi kwake!

Good move,tutarajie wapinzani kuwa loyal kwa kiti!

Mungu IBARIKI NCHI YANGU TANZANIA niipendayo Sana
Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno... Ngoja tuone
 
Kila kitu huwa wanawekaga wazi shida kushindwa kudecode msg.

Be careful chawa Hawa mmewajadili Sana kwa kazi na operation zao zinazofanyika kimya kimya.

Chawa Hawa sio hao wanoko wanoko mliowazoea... Punguzeni kuikosoa Serikali..... Kuna mikono ina nyatia watu.
 
Punguzeni kuikosoa Serikali..... Kuna mikono ina nyatia watu.
 
Neno chawa linalotumika kwa muktadha huo (context) haimaanishi chawa halisi bali tabia yake mojawapo ambayo ni kugandana yaani mtu akikuita chawa maana yake una tabia za kuwaganda watu, sasa kuwaganda kivipi hapo ndio inakuja maana kulingana na muhusika tabia yake.
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA .

Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya habari inaonyesha kwamba shughuli hiyo itasimamiwa na Mstahiki Meya Kumbilamoto , na Kwamba Wasanii kadhaa watatumbuiza , akiwemo Zuchu kutoka Wasafi .

Bali hakuna vigezo vyovyote vilivyotajwa kwa mtu kutambulika kuwa Chawa , lakini tunadhani Kusifia sifia kila kitu yaweza kuwa kigezo kikuu
 
Mama kweli anao chawa tena wanene. Unadhani akina January Makamba, Livingstone Lusinde, Msukuma, Mwigulu Nchemba, Abdulrahaman Kinana, Rostam Aziz, Zitto Kabwe, Freeman Mbowe, Shaka Hamdu Shaka, Pindi Chana, Profesa Paramagamba Kabudi, William Lukuvi na wengine wengi ni nini bila kumsahau chawa mkubwa wao Yusufu Makamba?
 
Lakini sasa imekuwa rasmi lakini je chawa hawa wa mama
Ni kikundi?
Kina uongozi?
Kinafadhiliwa na nani?
Kina malengo gani? Nk nk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…