Nimesikiliza Clouds fm jana na Leo,kuhusu mama wa miaka25,kumuingiza vidole mwanae wa kumzaa wa miaka7,pamoja na kumuingiza (penis za plastic)kwa kutumia oil kabisa jaman
mbele na nyuma na kumuharibu kabisaa!kumuacha wazi! Mama uyo alipewa ujauzito akiwa form one,na hamjui aliyem-mimba!
Mtoto huyo alianza kumuogopa mwanae na alipobanwa sana ndipo alipoeleza yote.
Mama mzazi anasisitiza hajui alipokifanya,hajielewi,na anaomba hata apelekwe jela mwaka mzima ndo akili atajua..jaman Hii dunia inaenda wapi?