Mama alinyanyaswa.

Nimethibitisha rasmi hili swala trh 06/10/2011, kwan hili swala nililisikia miezi kama mitano iliyopita kwa wakati wote huo sikuwa na uhakika juu ya tatizo hasa uzito wa tatizo na uthibitisho sikuwa nao,
kwa sasa ndio nimethibitisha na hata ndugu wengi wanalitambua
,
 
Achana na wazo hilo. Tengenezeni familia yenye umoja na mapenzi ya kweli
maana mama amesha maliza kazi. Hilo wazo lako ni kutengeneza uharibifu mwingine, ambao mwisho wake ni kusambaratisha familia yenu kabisa

poleni sana kwa msiba wa mama
 
Pole sana kwa matatizo,wote wanandugu mlikosea ...mtu huambiwa hapohapo kwa sababu huyo ameolewa tu,ametokea familia tofauti na nyie huwezi jua malezi ya kwao yalikuwaje ,na kama kuna tofauti yyt ambayo yy kaiona anatakiwa kusema ili kuwe na usawa pande zote mbili
mm nina wifi yangu alianza tabia za kipumbavu hivohivo uzuri wa huyu alikuwa anawahi kusema kwa mumewe amekosewa,
my br alikuwa na msimamo kama kasema uongo anpewa ukweli wake hapohapo,hadi akajirekebisha,
ilivozoeleka wanawake washajenga bifu na wakwe,mawifi hata kabla hajaingia kwenye ndoa
sas kaka lakufanya mradi ndugu wote wanajua isipokuwa huyo kaka yako,pangeni siku kaeni kifamilia aambiwe cz leo kamfanyia ur mom kesho mwingine kumbuka siku hazigandi.
 
pole sana kwa kunyanyasiwa mama yako mana hakuna kitu inauma kama mama yako akiteswa na hua ni wavumilivu sana wamama hua hawatakagi kusema kwa watoto wao wa kiume kua mkeo ananitesa koz hawataki kuwagombanisha so ni mpaka umgundue tu we mwenyewe na kuna wengine hata ukimuuliza anakataa na kusema mbona tunaishi vizuri tu.............
mana mwanamke ni nyoka so unaweza kumwambia mumewe kua mkeo ananitesa ukiwa hauko na yy usiku wakiwa wamelala akiulizwa akajitia kulia na kumbadilisha huyo mwanao wakiume mawazo hadi ndio ukafukuzwa sasa kabisa na hapo utakua hujakosa tu msosi na matibabu bali hata pa kulala utakua huna tena ......
then sisi wanawake mungu atuepushie tu jehanamu mana tunapenda sana kuharibu koo za watu tuingiapo huko mfano ss kwetu waliolewa mama wadogo wawili hapo ktk ukoo wetu wameuvuruga mapaka zile sherehe za mwez wa 12 hatujumuiki pamoja tena kisa wameleta kila familia ibebe mzigo wake kisa wao wamebarikiwa kuzaa mtoto mmoja na mwingine wawili tu .................so wanasema kwa wengine mlizaa watoto wengi mkitegemea nn mtawapeleka sokoni .............eeeeeeeeeh mola awanusuru roho zao mama zangu wadogo mana hawajui walitendalo
ivo narudia tena pole mnoo kwa mateso aliyopata mama yako kwani nakuelewa sana mana hata ktk ukoo wetu wapo mawifi na mashemeji wa kiivo kibao sio kwenu tu
 
Kwanza pole sana Mkuu kwa kuondokewa na mama. Mungu amlaze pahali pema.
Nahisi kama umechelewa kuchukua hatua wakati huu mama ameshaondoka. Ulipaswa kuliweka wazi hilo mapema kabla hajaaga dunia, na sio kwa shemeji yako bali kwa kaka yako kama una ubavu; vyenginevyo bora unyamaze. Kumweleza shemeji yako, anaweza kukugombanisha na kaka yako
bora tu anyamaze mana huyo shemeji atajishusha kwa mumewe na kijifanyisha malaika kiasi kwamba huyo kaka yako ataona unamsingizia na ushasema alikua anafanya kama besday siku kaka yako akiwako au nyie sasa huoni hapo tena waweza pewa kesi hata ya kusema unamtaka shemeji yako ndio man wamzushia
 
wewe nawe mnafiki,huyo shemeji anakuita sweet ukipita kwake wakati unajua anamnyanyasa mama yako na wewe unachekelea tu?????ulipaswa umwambie hapo hapo tabia yake mbaya,sasa hivi its too late kuropoka.....nyamaza ukae kwako na kaka yako akae kwake.....guilty tu inakusumbua kwa kutokuwepo wkati wa enzi za mwisho za mama yako......you will soon recover and everything shall come to pass
 
nachelea ku-comment kwani habari ni ya upande mmoja... pia sijui umechukua hatua gani kumwambia kaka yako, sijui unategemea nini kutoka JF kwani the damage has been done

mtm
 
kama yawezekana samehe tu mkuu...hayo mambo yapo na yataendelea kuwepo kuendeleza beef haitokua jambo la busara.just learn from her mistakes,na hili kutokua na kinyongo kabisa hayo mambo ungeyaanika wazi ili ubaya uwe hadharan usiogope kuwagombanisha u just open your mouth to talk the truth...mayb atajifunza jambo hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom