muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,835
- 14,727
Ha ha ha hataki kinga? Je na uzee huu akinasa?...Na anapenda pekuuu huyu mamaaaa..
Ha ha ha hataki kinga? Je na uzee huu akinasa?...Na anapenda pekuuu huyu mamaaaa..
Gari yake imekwama, imeshindwa kupita kwenye mfereji wa tope.
Ila namuona kwa mbali kama kanenepa hivi...ila ukichek nyuma pale kama kuna gari so usikute hilo lilikuwa pozi la picha tu
anaenda kupanda vx v8
WNMM...
Ni kawaida sana ukizingatia unapokuwa unaamua kulaba olweya ni lazima huwe hivi make kule mahome kabla ya kijiji unatakiwa kuvuka MTO ama tingatinga Fulani la maji,kwahiyo kutia viatu kwapani it isn't a big deal
Yaaah ameficha gar hata mm nimeona