Mama Akiwajibika Jimboni Kwake !

Mama Akiwajibika Jimboni Kwake !

Hivi Tanzania hamna hata hospital hata moja inayotibu wagonjwa wa mtindio wa ubongo! anakoelekea huyu mama tutampoteza hv hv
 
Lakini mbona hicho kibanda kwa mandhali yake ni kama kiko kwenye eneo la shamba lake la KYAMUYOLWA au naye ni victim wa forced displacement katika eneo lake?

Hapo kama sio kwa mganga wake basi ni kwa mlinzi wa shamba lake la kyemiorwa.
 
Bora arudishe kiasi kwa wananchi.lol!
 
Hivi huyu mama bila Ajira anadhani atakufa????
Si atafute kashughuli kake afanye??
Au alishazoea vya kunyonga, vya kuchinja hawezi?????
 
Amewasaidia nini maskini mbona hamjaweka wazi ili na sisi tujifunze? Si kwamba sithamini msaada lakini kweli sijaona msaada kwenye hizo picha. Huyo dada aliyevaa nguo ya njano na bluu naye ni maskini? Wapo maskini kweli hata ukiangalia picha zao bila hata kuoneshwa makazi yao kweli unaona ni maskini.
Ninapata maswali mengi sana.mfano wakati yuko UN aliwasaidiaje maskini wa mkoa/wilaya yake au hata wa Tanzania mfano Kisarawe?
Binadamu tusijisahau sana jamani. Mwisho wa maisha bado. Kuna watoto wengi wameshindwa kwenda shule kwa sababu ya ada, kuna watoto wameshindwa kusoma vyuo vikuu kwa kukosa mikopo.
Watanzania tusipende kuigiza, tuishi kwa kujaliana jamani.
Popote, wakati wowote ukiweza msaidie yeyote anayehitaji. Usisubiri uugue ndiyo uwatembelee wagonjwa. Leo tunaijua lakini kesho hatuijui.
 
Kuwawin wana nchi kaz rahisi kwa gia hii atabeba kura zote
 
Lipa kwanza kodi ya fedha ulizopewa na Kaka LUGE pia mwambie na Kiongozi wako hiyo pesa si ya IPTL zimo za TANESCO na TRA muuzilirudishe tu re_ calculate ndo mchukue zenu.Ila SETH hana share hapo.
 
Hahahaaa huu mwaka mpaka uishe hakuna rangi tutaacha kuona
 
Nice move.. Uwaziri nin kwani.?!!
 
Mwanamama na mhanga wa escrow Tibaijuka ajitoa kusaidia masikini kijijini

Acha umbea mwanaume!HATA SISI TUSIO NA NAFASI, TUKIENDA VIJIJINI HUWA TUNAWATEMBELEA NA KUWASALIMIA WANAKIJIJI WENZETU HASA WALIOKUTWA NA MISIBA,MAJANGA NA MASIKINI.KILA ATAKALOFANYA WEWE UNALETA HABARI HUMU?UTAKUWA MMAMA MBEA, ULITAKA ALALE,AJINYONGE AU NINI HASA??
 
Mwaka wa uchaguzi huu.

Haya ni mambo ambayo tunapaswa kutegemea kuyaona na kwa kweli haya ni madogo, tutashuhudia mengi na makubwa kutoka kwa 'wanasi-hasa' wengineo.
.
ni kweli aisee
 
Acha umbea mwanaume!HATA SISI TUSIO NA NAFASI, TUKIENDA VIJIJINI HUWA TUNAWATEMBELEA NA KUWASALIMIA WANAKIJIJI WENZETU HASA WALIOKUTWA NA MISIBA,MAJANGA NA MASIKINI.KILA ATAKALOFANYA WEWE UNALETA HABARI HUMU?UTAKUWA MMAMA MBEA, ULITAKA ALALE,AJINYONGE AU NINI HASA??

Wacha zako wewe unamsaidia nan wakati nawewe ni nasikini tu
 
attachment.php
 
Acha umbea mwanaume!HATA SISI TUSIO NA NAFASI, TUKIENDA VIJIJINI HUWA TUNAWATEMBELEA NA KUWASALIMIA WANAKIJIJI WENZETU HASA WALIOKUTWA NA MISIBA,MAJANGA NA MASIKINI.KILA ATAKALOFANYA WEWE UNALETA HABARI HUMU?UTAKUWA MMAMA MBEA, ULITAKA ALALE,AJINYONGE AU NINI HASA??

Sawa....lakini picha hizo hatujawahi kuziona sie
 
Back
Top Bottom