Mama Akiwajibika Jimboni Kwake !

Mama Akiwajibika Jimboni Kwake !

Hapa sijamwelewa kwa kweli unafikiri ni nini kinaendelea hapa?na hii picha aliyenitumia hajataka kunielewesha kuwa Mama alikuwa anaenda wapi?


attachment.php


Anawahi UN mkutano wa Umoja wa Mataifa, tawi la Bukoba!:yo::yo::yo::yo:
 
Da kwahiyo ubaridi wa haya madude anaukosa tena.
Toyota V8.jpg
 

Attachments

  • Toyota V82.jpg
    Toyota V82.jpg
    822.5 KB · Views: 243
Huoni kwa nyuma ya picha yake limetumbukia mtaroni?, same colour!!, kwa mara ya kwanza anaelewa wananchi wakilalamika barabara hazipitiki wanamaanishaga nini

Naona nyuma kuna gari,ila sidhani kama ni dude kama hili,dude hili aliwezi kukwama sehemu kama hiyo inayoonekana,serikali ya huko imeshindwa kupitisha grader tu hapo??? Ni shida.
 
Dakika 90 ndo mwamuzi ngoja tuone,safi mamy ila anza na stand ya muleba
 
Mwanamama na mhanga wa escrow Tibaijuka ajitoa kusaidia masikini kijijini
 

Attachments

  • 1421143190660.jpg
    1421143190660.jpg
    90.2 KB · Views: 2,069
  • 1421143259084.jpg
    1421143259084.jpg
    72 KB · Views: 1,629
Mwaka wa uchaguzi huu.

Haya ni mambo ambayo tunapaswa kutegemea kuyaona na kwa kweli haya ni madogo, tutashuhudia mengi na makubwa kutoka kwa 'wanasi-hasa' wengineo.
 
Ha ha haaaaa! Jr, kama siyo escrow angeonekana kama amavyoonekana sasa? Akishalipia kodi ile hela.awaanzishie mradi wa maana.
 
Lakini mbona hicho kibanda kwa mandhali yake ni kama kiko kwenye eneo la shamba lake la KYAMUYOLWA au naye ni victim wa forced displacement katika eneo lake?
 
Back
Top Bottom