Mama Akiwajibika Jimboni Kwake !

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,113
Naona amepata muda mzuri kuwahudumia wananchi wake kwa ukaribu kabisa!
 

Attachments

  • gggggggggg.jpg
    161.6 KB · Views: 5,214
Huku nikwenye mashamba yake ambapo inasadikiwa kuwa aridhi yenyewe aliwapora wananchi wake.
 
Anatafuta mbinu za kuiba tena,hamuwajui matapeli na wezi??
 
Hii mbona sio Kagera ninayoifahamu? Kuanzia ardhi, uoto na mazao yaliyo around haviendani kabisa na jimbo letu!
 
Ila namuona kwa mbali kama kanenepa hivi...ila ukichek nyuma pale kama kuna gari so usikute hilo lilikuwa pozi la picha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…