Mama akamatwa kwa wizi

Mama akamatwa kwa wizi

NACHELEA KUAMINI KAMA HUYU MAMA KAFANYA KAZI YOTE YA KUCHOMOA HIVYO VIFAA KWENYE GARI PEKE YAKE. NAFIKIRI KATI YA WATOTO WAKE (KAMA ANAO) AU YEYE NI STORE KEEPER WA VITU VYA WIZI. WAPELELZI WAFANYE KAZI YAO KWA UMAKINI SANA NA KUMTUMIA HUYO MAMA WAFANIKISHE KUWAPATA HAO WATAALAMU WA KUCHOMOA VITU KWENYE MAGARI. KU DEAL NA HUYO MAMA TU NA KUWAACHA WAHUSIKA MTAANI BADO WIZI UTAENDELEA. UPELELEZI MAKINI PIA UTASAIDIA KUJUA HUYO MAMA ANAHUSIKA AU HAUSIKI KWANI KAMA MSEMAJI MMOJA HAPO JUU ALIVYOSEMA HUWA KUNA CHUKI SANA MITAANI INAWEZEKANA MAADUI ZAKE WAMEMCHOMEKEA.
Ni kweli ndugu.Jamii ina visasi ajabu.Maisha yameshaharibika.
 
Hahahahaha dah mama apewe medal ya dhahabu ,show ya Maana hii siyo rahisi kuvunjwa .
 
Asalaam aleykum kwa ndugu zangu waislam.......bwana yesu asifiwe kwa ndugu zangu wakristo wale wengine kwemaaaaa ? bila shaka itifaki imezingatiwa . ndugu zangu napenda kuwambia tukio lililotokea Mbezi beach Siku ya Jana mama mmoja asiye na haibu hata chembe akitekeleza ile kauli ya hapa kazi tu kwa kuvamia Nyumba ya jirani yake huyu mama ni straiker WA hatari akaingia kwenye hiyo yumba akakuta Gari aina ya RAUM NEW MODEL MPYA na kuanza kuvunja vioo kisha kuanza kung'oa taa za gari, power window, na vifaa vingine kibao na kutokomea navyo kisha kwenda kuviweka nyumbani kwake akisubiraia kuvitafutia mteja ndipo wenyewe walivyo amka asubuhi na kukuta Gari likiwa jeupe limeibiwa vitu bila kumjua mchawi ni nani ndipo akatokea jirani mmoja na kuwatonya kua kuna MTU anamuhisi wahusika wakenda kutoa taarifa kituo cha police na kuja kufanya upekuzi na kumkuta akiwa na mzigo WA maana. Ina sikitisha sana kuona mama kama huyu anakuwa na mambo ya wizi kama haya sijui watoto wake wanajisikiaje dah inasikitisha sana mama yupo mbaloni analia tu. NATAMANI KU UPLOAD NA VIDEO YA GARI LILILOFANYIWA WIZI HUO LAKINI NASHINDWA
View attachment 880530View attachment 880531View attachment 880532
Sasa inasikitisha nini!?? wakati maisha yamekuwa magumu kupiliza hasa kwa akina mama,wauza vitumbua hakuna mnunuzi,mama nitilie halikadhalika,baada ya kumuonea huruma huyu mama na kufanya njia za kuwasaida mama zetu katika hili janga wewe umekuja na habari za Bwana Yesu asifiwe,wakiristo wenzangu bla bla bla..

Nchi inahitahiji mageuzi,tangu huyu jamaa kaingia madarakani hali imekuwa ngumu sana kimaisha hasa kwa watanzania wa maisha ya chini hali imekuwa bora ya jana kuliko ya kesho...
 
MAMA ni jina lenye heshima sana katika Jamii. Kichwa cha habari ilipaswa kisomeke JIZI JIKE LAKAMATWA KWA WIZI.
 
Huu utaalam wa kung'oa taa bila alarm kupiga kelele za kuamsha watu ukoje
 
Kama ckosei huyo mama amekamatwa karibu wik imeshapita. Na walikamatwa wamama wawili na huo mzigo na wez halis ni vjana watatu na walipigwa na matofali wawili mpaka wakafa mmoja ndio akaenda kuonyesha mzigo ulipo. Hii kesi niliikuta kigambon juz na si mbez.
 
Kama ningekuwa polisi test ya kwanza ni kumwambia arudishie kama alivyovikuta nijue ni yeye au ana mkava mwanaye kwa huo wizi
 
Ndugu zanguni msinicheke.

Hapo power windows ziko wapi?
 
Alikua anafanya kazi kiwanda cha kuunganisha magari akatolewa kwenye vyeti feki..! Respect mmama [emoji125][emoji125][emoji125]
Ha ha ha...mama anaweza hata kuutenganisha mwili wa binadamu!
 
Asalaam aleykum kwa ndugu zangu waislam.......bwana yesu asifiwe kwa ndugu zangu wakristo wale wengine kwemaaaaa ? bila shaka itifaki imezingatiwa . ndugu zangu napenda kuwambia tukio lililotokea Mbezi beach Siku ya Jana mama mmoja asiye na haibu hata chembe akitekeleza ile kauli ya hapa kazi tu kwa kuvamia Nyumba ya jirani yake huyu mama ni straiker WA hatari akaingia kwenye hiyo yumba akakuta Gari aina ya RAUM NEW MODEL MPYA na kuanza kuvunja vioo kisha kuanza kung'oa taa za gari, power window, na vifaa vingine kibao na kutokomea navyo kisha kwenda kuviweka nyumbani kwake akisubiraia kuvitafutia mteja ndipo wenyewe walivyo amka asubuhi na kukuta Gari likiwa jeupe limeibiwa vitu bila kumjua mchawi ni nani ndipo akatokea jirani mmoja na kuwatonya kua kuna MTU anamuhisi wahusika wakenda kutoa taarifa kituo cha police na kuja kufanya upekuzi na kumkuta akiwa na mzigo WA maana. Ina sikitisha sana kuona mama kama huyu anakuwa na mambo ya wizi kama haya sijui watoto wake wanajisikiaje dah inasikitisha sana mama yupo mbaloni analia tu. NATAMANI KU UPLOAD NA VIDEO YA GARI LILILOFANYIWA WIZI HUO LAKINI NASHINDWA
View attachment 880530View attachment 880531View attachment 880532
Dah sipati picha kama angeumbwa kuwa mwanaume, shughuli tungeipatapata mana lingekua jambazi sugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom