Mama akamatwa kwa wizi

Mama akamatwa kwa wizi

Asalaam aleykum kwa ndugu zangu waislam.......bwana yesu asifiwe kwa ndugu zangu wakristo wale wengine kwemaaaaa ? bila shaka itifaki imezingatiwa . ndugu zangu napenda kuwambia tukio lililotokea Mbezi beach Siku ya Jana mama mmoja asiye na haibu hata chembe akitekeleza ile kauli ya hapa kazi tu kwa kuvamia Nyumba ya jirani yake huyu mama ni straiker WA hatari akaingia kwenye hiyo yumba akakuta Gari aina ya RAUM NEW MODEL MPYA na kuanza kuvunja vioo kisha kuanza kung'oa taa za gari, power window, na vifaa vingine kibao na kutokomea navyo kisha kwenda kuviweka nyumbani kwake akisubiraia kuvitafutia mteja ndipo wenyewe walivyo amka asubuhi na kukuta Gari likiwa jeupe limeibiwa vitu bila kumjua mchawi ni nani ndipo akatokea jirani mmoja na kuwatonya kua kuna MTU anamuhisi wahusika wakenda kutoa taarifa kituo cha police na kuja kufanya upekuzi na kumkuta akiwa na mzigo WA maana. Ina sikitisha sana kuona mama kama huyu anakuwa na mambo ya wizi kama haya sijui watoto wake wanajisikiaje dah inasikitisha sana mama yupo mbaloni analia tu. NATAMANI KU UPLOAD NA VIDEO YA GARI LILILOFANYIWA WIZI HUO LAKINI NASHINDWA
View attachment 880530View attachment 880531View attachment 880532
Video hii hapa
 

Attachments

apewe na cheti cha heshima toka veta wakati akiendelea kusubiri kupanda kizimbani
 
Mimi nimeishia kuzoom tu iyo miguu
IMG_20180928_215703.jpeg
 
Dah....nirushieni namba yake...Niko singo mjue [emoji13]
 
Zamani kulikuwa na wizi wa kike na wizi wa kiume,wizi wa kike ulikuwa ni kuibiana nguo, vihela vidogo vidogo na viti vya aina yake......huyu yeye kavunja record maana wanaume wezi wengine hawana ata robo y uthubutu wake.
 
Alikuwa peke ake??? I salute her....kama Raumu yenyewe ni ile inayosambaa mtandaoni...basi huyu mama ni next level...
 
NACHELEA KUAMINI KAMA HUYU MAMA KAFANYA KAZI YOTE YA KUCHOMOA HIVYO VIFAA KWENYE GARI PEKE YAKE. NAFIKIRI KATI YA WATOTO WAKE (KAMA ANAO) AU YEYE NI STORE KEEPER WA VITU VYA WIZI. WAPELELZI WAFANYE KAZI YAO KWA UMAKINI SANA NA KUMTUMIA HUYO MAMA WAFANIKISHE KUWAPATA HAO WATAALAMU WA KUCHOMOA VITU KWENYE MAGARI. KU DEAL NA HUYO MAMA TU NA KUWAACHA WAHUSIKA MTAANI BADO WIZI UTAENDELEA. UPELELEZI MAKINI PIA UTASAIDIA KUJUA HUYO MAMA ANAHUSIKA AU HAUSIKI KWANI KAMA MSEMAJI MMOJA HAPO JUU ALIVYOSEMA HUWA KUNA CHUKI SANA MITAANI INAWEZEKANA MAADUI ZAKE WAMEMCHOMEKEA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom