MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 562
- 319
Taarifa kama hiv huwa zinanihudhunisha kupita kiasi kabisa.Halafu ukute huyo mama hana hata hela ya kuja mjini kufuatilia issues zake.Nadhani kuna haja ya kufanya kurudisha furaha ya huyu mama.Mwanamke mmoja mkazi wa Kahama mjini(Mstaafu)kwa jina Maghdalena Petro Kayilà,aliibiwa Fedha zake zote pale NMB Kahama kiasi cha million 24
Wizi iliotumika ni Fedha kuhamishwa kwa njia NMB Mobile kupitia laini ya Tigo.
Fedha zilipoisha Benki ndio akapewa taarifa na Uongozi wa Bank ya NMB Kahama Branch.
Kwa kifupi Uongozi wa NMB Kahama, Polisi Wilaya ya Kahama haijampa ushirikiano Mama yule hivyo kusababisha Mama yule kuishi maisha ya kifukara hadi leo.
Kuna baadhi ya Watuhumiwa walikamatwa na kuachiwa bila Mama yule kuwaona.
Mmoja ni mkazi wa Dodoma,Mwingine ni Mwalimu Segese na mwingine ni Mwalimu wilaya ya Ushetu.
Kwasababu Mama huyu hana Fedha za kufuatilia kesi hii, Serikali imetulia na hakuna kinachoendelea hadi leo.
Kumekuwa na vitendo vya Wizi kama huu NMB Kahama wakiibiwa wastaafu.
Niishauri Serikali kulifatilia hili maana wastaafu wanateseka sana.
Manager Branch bwana Chacha baada ya tuhuma, alihamishwa Kituo cha kazi na kupelekwa Mpanda.
Serikali fatilieni hili.
Manager Branch bwana Chacha baada ya tuhuma, alihamishwa Kituo cha kazi na kupelekwa Mpanda.Mwanamke mmoja mkazi wa Kahama mjini (Mstaafu)kwa jina Maghdalena Petro Kayilà,aliibiwa Fedha zake zote pale NMB Kahama kiasi cha million 24
Wizi iliotumika ni Fedha kuhamishwa kwa njia NMB Mobile kupitia laini ya Tigo.
Fedha zilipoisha Benki ndio akapewa taarifa na Uongozi wa Bank ya NMB Kahama Branch.
Kwa kifupi Uongozi wa NMB Kahama, Polisi Wilaya ya Kahama haijampa ushirikiano Mama yule hivyo kusababisha Mama yule kuishi maisha ya kifukara hadi leo.
Kuna baadhi ya Watuhumiwa walikamatwa na kuachiwa bila Mama yule kuwaona.
Mmoja ni mkazi wa Dodoma,Mwingine ni Mwalimu Segese na mwingine ni Mwalimu wilaya ya Ushetu.
Kwasababu Mama huyu hana Fedha za kufuatilia kesi hii, Serikali imetulia na hakuna kinachoendelea hadi leo.
Kumekuwa na vitendo vya Wizi kama huu NMB Kahama wakiibiwa wastaafu.
Niishauri Serikali kulifatilia hili maana wastaafu wanateseka sana.
Manager Branch bwana Chacha baada ya tuhuma, alihamishwa Kituo cha kazi na kupelekwa Mpanda.
Serikali fatilieni hili.
Katika uchunguzi wa awali kuna sehemu mteja alikosea au , hapa imeonyesha hadithi ina kosa taarifa fulani , Majibu ya nmb yanasemaje , washughulikie au , mwisho inaweza kuwa kuna mtoto wake au Mjukuu au ndugu walikuwa wana msaidia mama kufanya transaction kwa kutumia mtandao au hao wafanyakazi wa Bank. Mwisho watu wakipata madai ni vizuri fedha nyingi waweke kwenye fixed deposit ili waweze kuzichukua pale anapokuwa anaulazima kwa kuingia ndani ya BenkiMwanamke mmoja mkazi wa Kahama mjini (Mstaafu)kwa jina Maghdalena Petro Kayilà,aliibiwa Fedha zake zote pale NMB Kahama kiasi cha million 24
Wizi iliotumika ni Fedha kuhamishwa kwa njia NMB Mobile kupitia laini ya Tigo.
Fedha zilipoisha Benki ndio akapewa taarifa na Uongozi wa Bank ya NMB Kahama Branch.
Kwa kifupi Uongozi wa NMB Kahama, Polisi Wilaya ya Kahama haijampa ushirikiano Mama yule hivyo kusababisha Mama yule kuishi maisha ya kifukara hadi leo.
Kuna baadhi ya Watuhumiwa walikamatwa na kuachiwa bila Mama yule kuwaona.
Mmoja ni mkazi wa Dodoma,Mwingine ni Mwalimu Segese na mwingine ni Mwalimu wilaya ya Ushetu.
Kwasababu Mama huyu hana Fedha za kufuatilia kesi hii, Serikali imetulia na hakuna kinachoendelea hadi leo.
Kumekuwa na vitendo vya Wizi kama huu NMB Kahama wakiibiwa wastaafu.
Niishauri Serikali kulifatilia hili maana wastaafu wanateseka sana.
Manager Branch bwana Chacha baada ya tuhuma, alihamishwa Kituo cha kazi na kupelekwa Mpanda.
Serikali fatilieni hili.
Serikali ilishasema haifanyii kazi taarifa za mtandaoniMwanamke mmoja mkazi wa Kahama mjini (Mstaafu)kwa jina Maghdalena Petro Kayilà,aliibiwa Fedha zake zote pale NMB Kahama kiasi cha million 24