Mama africa

Mama africa

Hii picha inanirudisha nyuma kwenye siku mabomu ya wanajeshi wetu yalivyojilipua.....Sitaki kukumbuka ile siku.

Nani kakudanganya kuwa yale mabomu yalijilipua??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Indeed, The Love is always ther! Lakini sisi ni viumbe tusiyoTABIRIKA (unpredictbl) yaani kutokana upungufu wa maadili na matendo mema...vacume hiyo imenyakuliwa na ukatili, chuki na bughudhaa kutawala nyoyo zetu.
You just say Salaam Love will come back again!!

mweeeee................
 
Back
Top Bottom