Malumbano ya hoja ITV usiku huu, Mada ni Ushoga

Malumbano ya hoja ITV usiku huu, Mada ni Ushoga

Kipindi ni kizuri na mada ya leo ni sensitive ila wachangiaji wengi ni watupu kichwani, sijui huwa wanakwendaje pale, hawana hoja maridhawa
 
Mchangiaji ataka rais kuunda kamati ya kuelimisha namna ya kukomesha ushoga kuanzia juu hadi chini, watu waangua kicheko
 
Naona kama kipindi kitaisha bila mzizi hasa kutajwa na namna ya kukomesha ushoga, wachangiaji wanazungazunguka tu hawataji mzizi mkuu, wanadini na wanasaikolojia wanapuyanga tu, bora wangemualika Mamba
 
Nilitaman mtu angemwaga petrol kwenye ule ukumbi pateketee haswaaa
Si ungeenda kumwaga hiyo Petrol mzee baba au wewe ni muoga
Unataka wenzako waende
Jambo unaweza kufanya wewe ila hutaki unasukumia wenzako kikiwalamba wewe upo salama

Yale yale yakuwaambia wenzako waandamane wewe ukiwa unatombana na mkeo ndani wakifa unashangilia
Acheni upumbavu na ukima wenu matako yenu
 
ARV msaada

Vyoo msaada

Kampeni msaada

Bajeti msaada

Magovi removal msaada

Haaaaa haha jeuri hiyo maskini mtoe wapi
ndio maana wakili wa mahakama kuu kasema hakuna kipengele cha sheria kinachowatia hatiani mashoga, hapa ni kama ameiepusha serikali isionekane ina sheria kali kudhibiti mashoga isije ikapigwa rungu kuwa inakandamiza haki za binadamu na kuishia kunyimwa misaada na wafadhili wa ulaya na amerika wanaoshadidia ushoga
 
Mchangiaji amnukuu dudu baya LINDA MGONGO WAKO, asema maisha ya mashoga ni mazuri, ahoji ni nani anawawezesha? wanatoa wapi fedha?
 
Kamanda wa polisi asema kumkamata shoga kuna vianzo vingi ikiwemo hospitali, kumkamata ni mpaka mtu alalamike kuona mashoga wakifanya vitendo vyao na ithibitike ni kweli ndio watamkamata
 
Kamanda wa polisi asema sheria ipo, kama haina mawanda bunge litunge iwe kali zaidi
 
Kamanda wa polisi asema sheria ipo, kama haina mawanda bunge litunge iwe kali zaidi. Wakili wa mahakama kuu asema ili sheria iwe kali zaidi kuna mchakato mrefu sana
 
Back
Top Bottom