Huyo ni profesa Bingu wa mutharika, nimekutana na mmalawi mmoja akanisimulia jinsi kaka ya mutharika alivolazimisha kusafirisha maiti ( akidai kuwa ni mzima) wenye ndege wakakataa kwa sababu za kimaadili maana ilikuwa ni ndege ya hospitali ya afrika ya kusini ya kubebea wagonjwa , wao waliitwa kuchukua mgonjwa na sio marehemu, ikabidi baadae mzee zuma afahamishwe ndiyo ile ndege ikambeba marehemu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.