Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Hii ndiyo ilikuwa Oysterbay yetu watu weusi, Nyerere alipora Shamba la Mgiriki na kugeuza makazi ya high income TZ asilia kwa maana Masaki na O’ bey ni Muzungu, Upanga ni Muhindi na Msasani Mwarabu sasa sisi Waafrika weusi hatukuwa na eneo letu zuri na ndo maana Nyerere akatumegea Mbezi Beach!
Kwamba ilikuwa ili uishi Mbezi Beach ulihitaji kuwa mweusi kama mimi na pia high income na middle na manlow income mlitengewa Mwenge, Sinza , Tabata, Migomigo &Co.
Na tulianza vizuri ila sasa hivi malow income wa Tabata, Sinza wote wamehamia Mbezi Beach matokeo yake uchafu, wizi, majumba ya Ibada yasiyo na mpangilio, wachoma mahindi barabarani, n.k.
Nyerere angekuwepo angeilinda Mbezi Beach yetu, mbona malow income hamuhamii Obey au Upanga na kujenga majumba yenu ya ibada hovyo hovyo na kuuza mahindi choma kila mahali?
Nashauri sumatra waondoe dala dala Mbezi hizi ndo zinazotujazia watu Mbezi Beach!
Bring back our Mbezi Beach, malow income out!