Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

yanga bwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
300
Reaction score
47
Nakumbuka Jeshi la Polisi lilipiga marufuku wananchi kupelekwa kwenye mikutano ya kisiasa kwa kutumia malori .Cha ajabu idadi kubwa ya malori yamekuwa yakibeba Na kushusha watu maeneo ya jangwani kwenye uzinduzi Wa kampeni za CCM ili kujaza watu.Ushauri kwa Jeshi la Polisi kama CCM wameruhusiwa basis vyama vyote navyo viruhusiwe hatutaki tena Polisi wetu mwanze visa.
 
Nilianzisha uzi juzi nikiwakumbusha wasiwe double standard. Natamani yakawamwage, tatizo hawakomi. Wameshavunjwa viungo mara nyingi sana kisa buku tatu na wali.....ili washangilie
 
Nakumbuka Jeshi la Polisi lilipiga marufuku wananchi kupelekwa kwenye mikutano ya kisiasa kwa kutumia malori .Cha ajabu idadi kubwa ya malori yamekuwa yakibeba Na kushusha watu maeneo ya jangwani kwenye uzinduzi Wa kampeni za CCM ili kujaza watu.Ushauri kwa Jeshi la Polisi kama CCM wameruhusiwa basis vyama vyote navyo viruhusiwe hatutaki tena Polisi wetu mwanze visa.

Picha please!
 
Hata wakitaka kubebana kwenye ma tipper acha wauane kwenye ajali. Sisi tutatumia mabasi yetu kama kawaida kwani ustaarabu tumeuanza zamani. Wakipata ajali mbili tatu wataacha.
 
Tuamgalizie na green guard ka watakuwepo kuvisha wenye chama scafu.
 
Subiri kwanza Matengenezo Makubwa ya Umeme yatakayofanywa na Tanesco nchi nzima siku UKAWA watapokuwa wakizindua Kampeni zao wewe!

Kaa kimya lamkono hilo linapigwa ngazi kwa ngazi.
 
October 25 itakua mwisho wa uhuni huu.

attachment.php
 

Attachments

  • 1440316070293.jpg
    1440316070293.jpg
    22.1 KB · Views: 6,471
si wamepiga marufuku watu kwenda kwenye mikutano kwa makundi !?
hawa walafi bana..
wataua sana mwaka huu lakini kung'oka lazima.
 
Wengine Wana bebwa toka Huku ikwiriri-kwenye MA costa
 
1440314030590.jpg
Kamanda Kova, umeona hii? Askari wako wapo wapi wasikamate hawa CCM wanaotumia malori kubeba watu kuwapeleka Jangwani ili kujaza uwanja! Si jeshi lako lilipiga marufuku? Angalia ndugu, hii ni siku ya kwanza tu AMRI yako inaonekana haiihusu CCM. Vyama vingine vikianza tafadhali funga bakuli lako . Hatutaki double standards hapa. Nchi si ya CCM tafadhali. Msiivuruge nchi na kuleta machafuko kwa sababu tu ya uongozi hovyoooo wa jeshi lako la polisi na serikali dhaifu iliyopo madarakani kwa sasa.
 
Unataka huo mkutano wahutubie mawe? Waache wafanye siasa zao.

CCM bila kubeba watu kwenye malori hawapati hadhira!!

Tunawasubiri kwenye Sanduku la kura!!
 
Kwa wataalamu wa photography interpretation hii si picha ya tukio harisi la Leo ..haviendani kabisa
 
Wataka kuua chama,bila malori na wasanii ningumu kufanya mkutano
 
wanaandaa mafuriko ya upepo.Kikwete alikuja na majina mfukoni by Kinana
 
Back
Top Bottom