Malkia wa Uingereza, nini kazi zake?

Malkia wa kufanya kazi kwa siku
queen%20working%20day.jpg


Malkia ana wajibu mbalimbali kufanya kila siku.
Baadhi ya umma, kazi kama vile sherehe za sherehe, na ziara za ndani ya Uingereza au nje ya nchi.
Shughuli nyingine zinafanywa mbali na kamera, lakini si chini muhimu.Hizi ni pamoja na kusoma barua kutoka kwa wananchi wa magazeti, rasmi na maelezo ya mkutano; watazamaji na mawaziri wa kisiasa au mabalozi, na mikutano na Makatibu wake binafsi kujadili biashara ya kila siku na mipango yake ya baadaye diary.
Hata wakati yeye ni mbali na London, katika makazi katika Balmoral au Sandringham, anapata rasmi magazeti karibu kila siku ya kila mwaka na bado kikamilifu walipelekwa katika masuala yanayohusu ulimwengu wa roho yake.
Mbele ya kamera au mbali na hayo, Malkia wa kazi kwenda juu, na hakuna siku mbili katika maisha yake ni milele moja.
Asubuhi
Alasiri
Evening


Faiza umeshindwa kuirekebisha huo upupu wa Google translate.
 
Monarchy is the oldest form of government
in the United Kingdom.
In a monarchy, a king or queen is Head of
State. The British Monarchy is known as a
constitutional monarchy. This means that,
while The Sovereign is Head of State, the
ability to make and pass legislation resides
with an elected Parliament.
Although The Sovereign no longer has a
political or executive role, he or she
continues to play an important part in the
life of the nation.
As Head of State, The Monarch undertakes
constitutional and representational duties
which have developed over one thousand
years of history. In addition to these State
duties, The Monarch has a less formal role
as 'Head of Nation'. The Sovereign acts as
a focus for national identity, unity and pride;
gives a sense of stability and continuity;
officially recognises success and
excellence; and supports the ideal of
voluntary service.
In all these roles The Sovereign is supported
by members of their immediate family.
 
The Sovereign acts as
a focus for national identity, unity and pride;
gives a sense of stability and continuity.
 
Ni mvivu na mpenda ukuu ajabu. Hajawahi kubeba kitu chochote zaidi ya nguo mwilini mwake, anafanyiwa kila kazi ikiwemo kula anatafuniwa ye anameza tu. Na akijamba anapewa pole kwa kazi ngumu! Kifupi cheo chake ni janga!
Mengine wataongeza wenzangu!
sawa mkuu..
 
Ceremony.
Appreciations.
Sign of Kingdom.
Example other families to follow.
Sign of freedom,prosperity and Liberty.
 
Ni mkuu wa nchi ya uingereza.
Zamani ufalme ulikuwa na nguvu ila kwa sasa umebaki kama heshima tu bila kuwa na maamuzi kwenye serikali.
Chama kikishinda uchaguzi malkia ndio anakipa idhini kitengeneze serikali.
nchi 16 zinamtambua kama kiongozi wao.
Nchi kama zipi? Mkuu tusaidie apo please
 
WanaJF, nikiri tu kuwa hapa jamvini mimi ndo mtu ambaye kielimu nipo chini sana.

Pamoja na hayo nimejifunza mambo mengi kupitia hapa JF. Hakuna siku ambayo nimeacha kupita hapa JF.


Tafadhali, mtu anayejua kazi au shughuli za kila siku za malkia wa Uingereza anijuze, tafadhali, tafadhali msinibeze, tumia
kiswahili, kiingereza sitaelewa sana.

Malkia wa Uingereza hana mamlaka ya kiutendaji katika serikali, baadhi ya majukumu au kazi zake ni:-
1. Ni mkuu wa jumuiya ya Madola (Common wealth) ( sera)
2. Kuidhinisha au kukataa kujiuzuru kwa Waziri Mkuu
3.Kufungua Makongamano ya
Kitaifa
4.Kubariki idhini ya kupeleka Majeshi nje nchi kwenye mission fulani
 
WanaJF, nikiri tu kuwa hapa jamvini mimi ndo mtu ambaye kielimu nipo chini sana.

Pamoja na hayo nimejifunza mambo mengi kupitia hapa JF. Hakuna siku ambayo nimeacha kupita hapa JF.

Tafadhali, mtu anayejua kazi au shughuli za kila siku za malkia wa Uingereza anijuze, tafadhali, tafadhali msinibeze, tumia kiswahili, kiingereza sitaelewa
sana.

Kwa kuongezea tu Malkia wa Uingereza ni Mkuu wa Nchi asiye na madaraka ya kiutendaji
Hupelekewa kusoma na kuridhia baadhi ya maamuzi ya kikatiba na kibunge ( House of commons) samahani mkuu nimechanganya lugha lakini ina tafasiri ya Bunge la uingereza
 
Back
Top Bottom