PostGE2025 Malisa: Wazazi wangu na majirani wamewekwa chini ya ulinzi na Polisi

PostGE2025 Malisa: Wazazi wangu na majirani wamewekwa chini ya ulinzi na Polisi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Malisa Godlisten

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
202
Reaction score
1,588
Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili.

Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia, nao wamewekwa chini ya ulinzi!

Tumewasiliana na Mwenyekiti wa Kijiji ili aende kujua nini kinaendelea lakini naye sasa hapatikani (bila shaka nae kawekwa chini ya ulinzi). Mpaka sasa hatujui nini kinaendelea.

Nalaani vikali tukio hili la kinyama. Ikiwa Polisi wananitafuta mimi, zipo njia nyingi wanaweza kutumia zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi kuliko kuwaghasi wazazi wangu ambao ni wazee. Huu ni unyama na haukubaliki

Tukio hili limetokea leo baada ya jana kutoa taarifa ya watu wasiojulikana (ambao hawakujitambulisha wala kuwa na magari yenye namba) kuvamia nyumbani usiku wa manane na kukata umeme.

Marafiki zetu ambao ni mawakili waliopo Moshi wanaelekea kijijini kutoa msaada wa kisheria. Naomba watu wa Old Moshi Kidia muende kwa wingi hapo nyumbani kujua kinachoendelea.

Uovu huu usikaliwe kimya!
 
Hao hawafai kuitwa polisi bali majambazi au vibaka wa CCM.

Nchi zenye polisi huwa zina utaratibu wa kumtafuta mtu kwa mahojiano, ukamataji na hata kumfikisha kwenye vyombo vya sheria bila kumdhalilisha.

Mfano ni taarifa kama hii iliyonyooka inaeleza jina la mtu, kosa lake , wapi alifanya kosa na lini na taarifa zingine muhimu kiasi kwamba hata ikitokea kakamtwa jamii haitokua na maswali juu ya tukio na ikitokea wamemkamata wanarudi kutoa taarifa mtu alikamatwa wapi, atapelekwa gereza gani huku akisubiria kesi yake kutajwa katika mahakama ipi.

Sasa hao vibaka na majambazi ya CCM wanamvamia mtu wanamteka halafu wanaibuka na kusema uchunguzi unaendelea huku ikipita miaka na hakuna taarifa yoyote.

View: https://x.com/i/status/1889761751589081143
 
Kama ishu ni kuwashikilia wazazi wako ili wewe upatikane, huo ni uonevu.

Hao yapasa kuwachukulia kama majambazi tu. Dawa ya jambazi ni kiberiti.

Himiza wananzengo hapo kidia wawatie moto hao wendawazimu.
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
 
Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili.

Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia, nao wamewekwa chini ya ulinzi!

Tumewasiliana na Mwenyekiti wa Kijiji ili aende kujua nini kinaendelea lakini naye sasa hapatikani (bila shaka nae kawekwa chini ya ulinzi). Mpaka sasa hatujui nini kinaendelea.

Nalaani vikali tukio hili la kinyama. Ikiwa Polisi wananitafuta mimi, zipo njia nyingi wanaweza kutumia zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi kuliko kuwaghasi wazazi wangu ambao ni wazee. Huu ni unyama na haukubaliki

Tukio hili limetokea leo baada ya jana kutoa taarifa ya watu wasiojulikana (ambao hawakujitambulisha wala kuwa na magari yenye namba) kuvamia nyumbani usiku wa manane na kukata umeme.

Marafiki zetu ambao ni mawakili waliopo Moshi wanaelekea kijijini kutoa msaada wa kisheria. Naomba watu wa Old Moshi Kidia muende kwa wingi hapo nyumbani kujua kinachoendelea.

Uovu huu usikaliwe kimya!
huna haja ya kubabaika na porojo gentleman,
raia wema daima hushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama ikiwa kuana jambo lenye kutia mashaka.

nitoe rai kwa waTanzania wote kuacha kujaribu kutia chumvi kwenye mambo ambayo ni ya kawaida kabisa kama hili analojaribu kupotosha huyo muungwana :BillyApprove:
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
Ufala huo Mzee hata kama unalipwa hiyo huku tatu
 
Lucas usiwe mjinga wa kiwango hiki.

Unachokifanya hata hao walioenda hapo kwa Kina Malisa, waliowatuma wote wanakuona hamnazo.

Wewe unafikiri wao watakuona wa maana? Wenzako wapo kazini, wewe? Wenzako wameagizwa, wewe?

Kama huwezi kutetea wanaoonewa kaa kimya. Kwa sababu muoneaji anajua anachokifanya. Wewe unayeshabikia uonevu unafikiri hata hao waonevu wanakuona upo upande wao?
Wanakuona Snitch. Coward.

Watu kama nyie mtu haitaji kulipwa kuwafanyia ubaya.

Usipende kushabikia michezo ya kihuni wakati wewe sio mshiriki.
Hautakuwa upande wowote ule.
Sio wa muoneaji wala muonewa.
 
post shehe hasina wa bangladesh ...

,,On 21 August, the Yunus interim government ordered the revocation of all diplomatic passports including Hasina's., the interim government issued an ordinance revoking a law providing special privileges to the Sheikh–Wazed family, including Sheikh Hasina, under which it was enacted in 2009. On 17 October, the International Crimes Tribunal issued an arrest warrant against her for alleged crimes against humanity committed during the July massacre. On 5 December, the tribunal banned her speeches and related broadcasts from being published in Bangladesh.
The presence of a large number of secret prison cells or aynaghars during Sheikh Hasina's 15 years was brought to the public eye by The Commission for Inquiry on Enforced Disappearance and was officially visited by Chief Adviser Muhammad Yunus with victims and press in February 2025. At least one detention centre, next to Dhaka International Airport, with many tiny, dark cells had been bricked up to hide it after the regime fell. 500 to 700 cells were found throughout the country. People were incarcerated sometimes for many years, and many are thought to have been killed.

A report titled White Paper on State of Bangladesh Economy, published on 1 December 2024, estimated that up to US$16 billion was annually diverted through money laundering during Sheikh Hasina's tenure as Prime Minister from 2009 to 2024, adding up to more than $240 billion over 15 years. In December 2024, the Bangladeshi government opened an investigation against Hasina, her son Sajeeb Wazed Joy, and her niece, Tulip Siddiq, who is an MP and was then a cabinet minister in the United Kingdom, over allegations of embezzlement of $5 billion in funds for the construction of the Rooppur Nuclear Power Plant using offshore accounts in Malaysia. On 24 December, the Bangladeshi government formally requested the Indian Ministry of External Affairs to extradite Hasina.

The Interim Government has made the money laundering case of Sheikh Hasina and her family a top priority for resolution. On 11 March 2025, a Dhaka court ordered the freezing of 124 bank accounts of Sheikh Hasina, her family, related individuals and institutions which had Tk635.14 crore in them. It has also confiscated eight plots, which include 60-katha RAJUK plot with a deed value of Tk1.80 crore, as well as 10 decimal land holdings valued at Tk8.85 crore. On 18 March 2025, A court in Dhaka has issued an order to freeze another 31 bank accounts connected to Sheikh Hasina, her son Sajeeb Wazed Joy, daughter Saima Wazed Putul, sister Sheikh Rehana, and their affiliates. The total amount held in these accounts is Tk394.6 crore. A joint probe team found assets of Sheikh Hasina, her family, related individuals and institutions in United States, United Kingdom, Malaysia, Singapore, Hong Kong and Cayman Islands. Existence of a Russian slush fund was found in a bank of Malaysia.

On 1 June 2025, the International Crimes Tribunal began trying Sheikh Hasina in absentia for the repression of protests against her government. On 2 July 2025, she was sentenced in absentia by the ICT to six months' imprisonment for contempt of court.

A leaked audio recording, verified by the BBC, reveals that Hasina authorised lethal force against student-led protesters during 2024, reportedly resulting in up to 1,400 deaths. The unrest, sparked by opposition to civil service job quotas, escalated into a mass uprising that ultimately ousted Hasina after 15 years in power. In the verified call, Hasina is heard instructing security forces to shoot protesters on sight, a directive corroborated by subsequent police use of military-grade weapons across Dhaka. The recording, authenticated through forensic analysis and matched to Hasina's voice, is now being used as key evidence in her trial in absentia for crimes against humanity. While her Awami League party denies any unlawful intent and questions the tape's authenticity, legal experts emphasise the recording's evidentiary significance in linking Hasina directly to the violent crackdown'' ...
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
We jamaa uko damaged beyond repair.

Kwahiyo hakuna majirani au ndugu wenye simu wanao weza kuwasiliana naye.

Huko polisi mnataka mkamteke mmpooteze mana hizi kazi za kuteka na kupoteza watu ni inside job ya wahuni na policcm.
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
Kumamako
 
Sema kuna kitu Malisa hajasema. Kwanini Polisi waende kwao na kuleta huo usumbufu? Ninaona kama vile Malisa ana kesi inayomhusu hivyo kaamua kuwatoroka Polisi. Pia baba yake Malisa ni inspekta wa polisi mstaafu. Malisa aweke kila kitu wazi.
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
Ipo siku utayalani haya unayosema ni uzushi. Yatakufika usiwe na shaka.
 
Back
Top Bottom