Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Huo ni upeo wako wa kusikiliza na kuelewa, ila majority tunaelewa uwezo wa malisa
Mi
Mi namskiliza lakini namuona ni mweupe analzimisha tu point ambazo hazipo na mohamehedi amembana mwisho akakili kuwa rais amefanya vitu vingi ndani ya mwaka mmoja. Kumbe jamaa ni kiazi hivyo!!!