Unaweza kuthibitisha? Acha kujishusha!Kumbe alisoma Sauti.. Hakua na uwezo basi.. Sauti duuh.. Alishindwa ata kwenda Udom au Sua..
Unaweza kuthibitisha? Acha kujishusha!Kumbe alisoma Sauti.. Hakua na uwezo basi.. Sauti duuh.. Alishindwa ata kwenda Udom au Sua..
Mi namskiliza lakini namuona ni mweupe analzimisha tu point ambazo hazipo na mohamehedi amembana mwisho akakili kuwa rais amefanya vitu vingi ndani ya mwaka mmoja. Kumbe jamaa ni kiazi hivyo!!!Kijana yupo bright and well informed
Nipo na sikiliza the gentlemen talk apa
Udom nacho ni chuo?Kumbe alisoma Sauti.. Hakua na uwezo basi.. Sauti duuh.. Alishindwa ata kwenda Udom au Sua..
Waziri wangu kwenye serikali ya wanafunzi chuo kikuu SAUT
Technically alifukuzwa kwa kuletewa MTU aliyemtangaza Fisadi kwa miaka 8. Kwa kuwa anajitambua akaelewa somo la akufukuzae hakuambii toka!!Hivi Dr.Slaa alifukuzwa wapi???.
IQ kubwa...kaishabuni kitu gani au IQ ya porojo?.Ni Malisa G mchambuzi wa siasa za Tanzania kijana mwenye IQ kubwa
Kumbe kasomea SAUT alah!!! Mie nilidhani kichwa cha UDSM au kidogo Mzumbe.Waziri wangu kwenye serikali ya wanafunzi chuo kikuu SAUT
Halafu ukimchallenge kwa hoja Facebook huwa anakublock.Mi
Mi namskiliza lakini namuona ni mweupe analzimisha tu point ambazo hazipo na mohamehedi amembana mwisho akakili kuwa rais amefanya vitu vingi ndani ya mwaka mmoja. Kumbe jamaa ni kiazi hivyo!!!
Kumbe alisoma Sauti.. Hakua na uwezo basi.. Sauti duuh.. Alishindwa ata kwenda Udom au Sua..
Hapo kwenye redi ndio wapi huko!?Kumbe kasomea SAUT alah!!! Mie nilidhani kichwa cha UDSM au kidogo Mzumbe.
Mkuu huwezi kuwa mchambuzi wa mambo yoyote huku ukiwa na itikadi iliyoegemea upande mmoja.Ni Malisa G mchambuzi wa siasa za Tanzania kijana mwenye IQ kubwa
Malisa GJNdio nani huyo?
Vipi yakoNdio nami nashangaa. Watu wanafikiri kuandika ovyo ovyo na kila wakati ndio IQ kubwa.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Technically alifukuzwa kwa kuletewa MTU aliyemtangaza Fisadi kwa miaka 8. Kwa kuwa anajitambua akaelewa somo la akufukuzae hakuambii toka!!
alisoma nn mkuuWaziri wangu kwenye serikali ya wanafunzi chuo kikuu SAUT
"Hapa kwetu Marekani"Kama uchambuzi ni wa hivyo basis kila mtu ni mchambuzi hapa Tanzania. Yeye ni kutetea tu chadema halafu eti huo ndo uchambuzi. Hivi kweli watanzania mbona mna low thinking capacity namna hiyo!! Yaani malisa yeye ni kutafuta ni kuisifia tu chadema na kulazimisha point nrogondogo za kuikashfu serikali wala yeye haoni chema hata kimoja ambacho kimefanywa na serikali. Uchambuzi mzuri wa kubalance mambo yaani to a strengths and weaknesses ili watu wajisahihishe. Sasa yeye ni kuponda tu yaani hata ndege alizonunua magufuli kwake yeye ni kero!!! Huu uchambuzi uko Tanzania tu. Ungekuwa hapa kwetu marekani umeshapigwa mawe siku nyingi.
Aliletewa au alishiliki kuleta??.Technically alifukuzwa kwa kuletewa MTU aliyemtangaza Fisadi kwa miaka 8. Kwa kuwa anajitambua akaelewa somo la akufukuzae hakuambii toka!!