Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
Mchana huu Malisa yupo Ndani ya DW dira ya dunia unaweza kufungulia dw swahili website now au hata radio free Afrika. Kuanzia saa saba hadi saa nane kamili
Ngoja tusikilize huu mnyukanoKijana yupo bright and well informed
Nipo na sikiliza the gentlemen talk apa
Ni Malisa G mchambuzi wa siasa za Tanzania kijana mwenye IQ kubwaNdio nani huyo?
??uliuliza ili iweje sasaOK.Ni yule Kada wa CDM mfia Chama asiyekubaliana na kuletwa kwa Lowassa na kufukuzwa kwa Dr. Slaa!! Nimemkumbuka sasa!!
Kwa hio iq yako na ya Malisa vinalingana?Sasa Malisa ana IQ au ni kada wa chadema
Sasa Malisa ana IQ au ni kada wa chadema
Pengine ungeelewa maana ya iq ndio tungeanzia hapo,Kwa hio iq yako na ya Malisa vinalingana?
Kumbe alisoma Sauti.. Hakua na uwezo basi.. Sauti duuh.. Alishindwa ata kwenda Udom au Sua..Waziri wangu kwenye serikali ya wanafunzi chuo kikuu SAUT
Hivi Dr.Slaa alifukuzwa wapi???.OK.Ni yule Kada wa CDM mfia Chama asiyekubaliana na kuletwa kwa Lowassa na kufukuzwa kwa Dr. Slaa!! Nimemkumbuka sasa!!