GEMBESON
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,463
- 3,200
Saa 08:00 asubuhi. hiyo ni mida jua linakuwa upande gani mkuu wangu?
Ameeleweka lakini, kwa kuwa ametumia neno asubuhi. Akimaanisha saa mbili. Ukiwa na furaha unaweza kuandika kinyumenyume bro.
Saa 08:00 asubuhi. hiyo ni mida jua linakuwa upande gani mkuu wangu?
Saut ndo nini? Viva udsm
CCM na CDM mpaka vyuoni.... kazi ipo
The only institution that does not change is cemetery!!Saut ndo nini? Viva udsm
Huyu anaweza kuwa na uhusiano na Benno, ila siyo muhimu kwa sasa
Saut ndo nini? Viva udsm
SureBig up malisa nyota njema huonekana asubuhi,hongera sana