Malipo ya Salma Kikwete yazua utata! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ya Salma Kikwete yazua utata!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtoka Mbali, Sep 22, 2010.

 1. Mtoka Mbali

  Mtoka Mbali JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tafadhali aliyekwisha pata gazeti la Mwanahalisi la leo tafadhali tujuze yanayo endelea. Siko katika nafasi ya kupata hilo gazeti siku nzima ya leo, tafadhali naomba nipate japo headlines.
  Thanx in advance.
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  mtoka mbali subiri watoka karibu watalileta hapa soon.
   
 3. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Habari zilizoandikwa katika gazeti la mwanahalisi toleo namba 207 la leo tarehe 22/9/2010 kuhusu yale malipo ya ndege ya kukodi yanatia kinyaa. Nitanukuu kwa kifupi baadhi ya sehemu muhimu. "kwenye hati ya madai ya tarehe 14 septemba mwaka huu, inayodaiwa kutolewa na mamlaka ya ndege za serikali (TGFA) kwa CCM inaonyeshwa kuwa kasma (vote) inayotawala fedha za mamlaka ni na. 062". kwa maelezo ya mwandishi huyu kasma inayotajwa haimo katika vitabu vya bajeti Vya mwaka huu wa fedha (2010/2011). Inauma sana! mwandishi amejiridhisha baada ya kufanya upekuzi wa vitabu vinne vya bajeti.

  Hati zilizokaguliwa ofisini kwa kinana , mtaa wa ohio ni na.00868727 ya tarehe 31 agosti 2010 inayodai dola za kimarekani 15,000 na nyingine na. 00867909 ya tarehe 14 septemba 2010 inayodai sh. 22,950,000 zote zikionyesha kasma na. 062. Vitabu vya bajeti vilivyo pekuliwa ni

  makadirio na mapato
  makadirio ya matumizi ya serikali
  makadirio ya matumizi ya mikoa na
  makadirio ya matumizi ya maendeleo

  katika vitabu vyote hivyo hakuna palipoonyeshwa kasma na. 062 ya wakala wa ndege za serikali. Habari toka wizara ya fedha ni kasma na. 1817. "Hata hivyo ofisa wa bunge aliliambia mwanahalisi kuwa kasma na.062 iliyotajwa na wakala ilikuwa katika vitabu vya bajeti vya mwaka 2006 chini ya wizara ya mawasilino na uchukuzi na kasma hiyo sasa imefutwa". KWA MAANA NYINGINE FEDHA HIZO ZINAINGIA KATIKA MIFUKO ISIYOHUSIKA.


  Katika hali isiyokuwa ya kawaida na hivyo kuonyesha kuwa mama salma kikwete amekuwa anasafiri na hiyo ndege kama first lady na siyo mpiga kampeni wa CMM, RUBANI HUSEMA YAFUATAYO ANAPOTAKA KUTUA KIWANJANI " On board, on board, First lady, first lady!" kwa maana kwamba wamembeba mke wa raisi na siyo abiria wengine kama ilivyo zoeleka. INATIA KINYAA TUNAHITAJI USHAHIDI GANI ZAIDI WA HAYA KAMA SI UFISADI TU. NASHAURI MAMA AFUNGULIWE KESI YA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA UMMA.
   
 4. J

  Jafar JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huyu mama kama anataka uongozi si agombee tu.
   
 5. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  safi sana kubenea hapa ndipo huwa namkubali sana huyu bwana yaani akili zake na utundu wa kutafuta habari na kufukunyua unanipa raha sana, bravo mwana halisi.
   
 6. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Nae Kinana ashitakiwe kwa forgery.
   
 7. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,509
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Anajitahidi kuokoa jahazi linalozama!!! Namshauri aende Zimbabwe akatafute ushauri wa kung'ang'ania ikulu kwa Grace Mugabe.
   
 8. e

  emalau JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Yatafunuka mengi, You know what? CCM guys always fail to draw the line between party and goverment
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hawa ndo watu wa kuwapa uwaziri wa habari mtu anachunguza mpaka ikibidi afe yuko Tayari.
  Tena kwa kudesa naona ameingia choo cha KIKE.
  Tundu Lissu chukua hatua kesi mahakamani.
   
 10. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapa ni kukaanga tu CCM, Tundu Lisu naona ngoma bado inogile jimboni hakujakaa sawa mbona yuko kimyaaa saana. We wish to see the first Lady at High Court mara moja. Kwanza wamlipua zaidi harafu wampeleke kunakosaidia kunyoosha wenye tamaa.
   
 11. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Juhudi zote za wapiganaji kama wakina Kubenea hazitakuwa na maana yoyote kama wananchi wenyewe hawataamua kuona kama haya ni matatizo na wizi mkubwa na kuwang'oa majambazi hawa ikulu! Kubenea nakuonea huruma mkuu, naogopa kukwambia kwamba unaweza kuwa unapoteza nguvu zako bure, kwani watanzania wengi hawaoni tatizo kuibiwa!
   
 12. Mpenda Kwao

  Mpenda Kwao Senior Member

  #12
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Keep it up Kubenea.
  Safari ni ndefu lakini ipo siku watanzania watagundua ni jinsi gani wanaibiwa na kunyonywa.
   
 13. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nilijua hiyo risiti ni feki iliwekwa kumsafisha mama salma. Ila sikujua kuna waandishi wa habari wafukunyuzi na makini hivi!!! Dr Slaa yumo humu tunamuomba achukue hii taarifa aifanyie kazi huyu mama anatumia kodi zetu pasipostahili!!!!
   
 14. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Sawa Amoeba lakini ujue Tanzania haikuanza leo na CCM haikuwapo karne ya 20 ilipoanza hivyo basi itakuja kupotea tu iko siku kwa vitendo hivi wewe subiria utaona. Watanzania tumechoka sana mambo haya kila siku ufisadi wakati kuna wananchi wa kawaida wanakosa hata pesa ya kifungua kinywa....
   
 15. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2010
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  If we all plays our card well, changes in this country is just around the corner.
   
 16. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi ana-enjoy u-first lady akimaliza kipindi chake atagombea ubunge huko kwao. Hizi ni taarifa za kuaminika na kampeni alishaanza zamani.

   
 17. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hapo ndipo huwa naona umaana wa uhandishi wa habari na si kubebabeba watu au kikundi fulani kwa maslahi binafsi,kwa hakika Mwanahalisi wanazidi kuwaonesha watanzania hali halisi ya viongozi katika taasisi za serikali wanavyotumika katika kufanikisha maslahi ya watu fulani.
   
 18. Miwani

  Miwani Senior Member

  #18
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 182
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pointless!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 19. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kinana ashtakiwe kwa kudanganya umma na kufoji risiti kwa madai ya kulipa serikali na Salma ashtakiwe kwa matumizi mabaya ya pesa za umma
   
 20. M

  Maluo Member

  #20
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  asante sana huyu mwandishi wa habari anahitaji kulindwa na nguvu ya umma na hiyo nguvu ni sisi sote kama watanzania asijemwagiwa tena tindi kali ama kunyang'anywa computer na usalama wa ndani kwa nia ya kumdhihaki na kumdhalilisha na kumyanyanyasa kama walivyowahi kufanya naamini anastahili hata ile nishani ya CNN na nyinginezo hawa ndiyo tunaowahitaji kwa Tanzania yetu hii ili tuendelee

  pia mimi nasema hawa waandishi siku ile niliona katika TV news Kinana anaonyesha risiti lakini hakuthubutu kutoa copy ya risiti hizo kwa waandishi kwa ajili ya ufuatiliaji zaidi kwani yeye alijua undani na madhambi yalifichika humo tuendelee muda utatuambia mengi zaidi haya ndiyo mambo ya muda MAO WA CHINA ALISEMA "unaweza kudanyanga watu wote lakini muda ukipita ukweli utajulikana na wakijua ukweli huwezi kuwapa hadaa mpya tena kwani ukweli una nguvu kuliko uongo'
   
Loading...