Malipo ya salio la sensa

Malipo ya salio la sensa

NG'WENEKELE

Member
Joined
Mar 7, 2011
Posts
14
Reaction score
0
Hivi kwani Serikali ina mpango gani wa kuwalipa makarani wa Sensa salio lao baada ya kazi?Tumekubali kufanya siku saba za kizalendo sasa pesa iliyobaki inakuwaje?Sio usanii na uzembe uliosemwa na Mnyika huu?Tunaelekea kuchoka kusubiri.
 
SUBIRI cheki haijatoka STANBIC mkopo wa Serikali kulipa mishahara umekwama.
 
...Inawezekana pia sio Serikali bali humo njiani zilimopita kila mtu kataka kukata kidogokutahamaki zimekwisha...! Naona muandike maumivu tu!
 
Back
Top Bottom