Mimi mmoja wa Wastaafu na nimekuwa nikipata pensheni yangu kuanzia tarehe 28 kila mwezi lakini kwa mwezi huu imekuwa ni tofauti kabisa. Mpaka sasa sijajulishwa kupitia sms inayoniarifu toka NMB kuwa pensheni yangu tayari imeingizwa kwenye akaunti yangu. Sisi Wastaafu pensheni ndiyo tegemeo letu mnapotucheleweshea tunapata matatizo za kimaisha.