Malipo ya pensheni mwezi Agosti 2018

Malipo ya pensheni mwezi Agosti 2018

Katika vitu ninavyomsifu Magufuli ni malipo ya pensheni. Wastaafu ninaowajua wan alipewa bila usumbufu.
Subiri mpaka ustaafu, sasa hivi ni vigumu sana kwako kuelewa. . Mi pesheni ya Julai ndio nimelipwa leo. Kwanini usimsifu Mkurugenzi Mkuu wa mambo ya pensheni. MI nadhani aliyechelewesha pensheni yangu sio JPM.Ni watendaji ktk ilr taasisi.
 
Back
Top Bottom