Malipo ya Mamilioni Parastatal Pensions Fund (Invoices): Rewarding and Defending Corruption | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ya Mamilioni Parastatal Pensions Fund (Invoices): Rewarding and Defending Corruption

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Mar 29, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  In just few days (if no one acts and if we are not too late), some very high level PPF officials (a group of less than 10 individuals) will receive from fund millions of Tanzanians shillings (over a billion in total) in what is seen as another round of rewarding "themselves" for a job "well done".

  Since the first reports of the massive embezzlement under the auspice of "an Endowment Scheme" came to light almost three years ago I have been following from afar hoping that our leaders and law enforcement agents will take swift action to stop these acts of blasphemous abuse of power and office. So far no one dared to act.

  It has taken me sometime to collect enough evidence (Asante vi-nzi) to warrant leveling unhindered and unqualified accusations of high level corruption in Tanzania's Parastatal Pension Fund. The overwhelming evidence collected so far leave no doubt to an independent mind that a group of well connected individuals within the fund and outside it have created a mechanism that guarantees them a systematic siphoning of public monies routinely.

  If this system will work as it has been designed to work; then the same group of people (may and newer ones) will get new checks worthy millions of Tanzanian shillings as stated above. The last time (in 2008 as the following invoices show) the individuals named elsewhere (here in JF and in other news outlets) took home ....

  Exclusive Report will follow in few days after the next round is completed or if somebody acts to stop it. After this report I will retire from this kind of investigative political activism (including popular columns in some major newspapers) after almost six years of a very emotional engagement in Tanzania's political arena. Over the years, I have created many friends to last a life time. Unfortunately, I have created many enemies to last a lifetime as well - some may be even in the after life. I don't know how long I'll be in that retirement before something push me back in the fight. Between now and then we have work to do.

  Jana tumeanza kuangalia suala la malipo ya zaidi ya shilingi bilioni 1 kwa wakurugenzi sita ndani ya shirika la Pensheni la Mashirika ya Umma (PPF). Tuliona baadhi tu ya invoices za malipo kwa Wakurugenzi hao. Malipo hayo toka mwanzo yalizua mgogoro ndani ya PPF baada ya aliyekuwa Mhasibu Mkuu kutotaka kulipa na kujikuta akigongana na viongozi wake wa juu (ambao walikuwa walengwa wa malipo hayo). Pamoja na nia yake njema ya kujaribu kuliokolea shirika fedha hizo na kujaribu kusimamia utawala bora Mhasibu huyo aliondolewa makao makuu na baada ya kumrusha huko na huko amejikuta akirushwa Mbeya ambako juhudi za mwisho sasa hivi zinataka kuhakikisha anatolewa kabisa kwenye Shirika. Jitihada zake hazijapata mtetezi ndani ya serikali. Kukosekana kwa sheria ya kuwalinda Whistleblowers ni kizuizi kikubwa kwa watu kama hawa kujitokeza hadharani kwani ndio wanapata makali ya hasira ya viongozi wanaoumbuliwa.

  Kutokana na mgongano uliotokea baada ya malipo kufanyika Shirika ikabidi liitishe Kikao cha ndani na ajenda ikiwa ni kujadili ripoti ya Wakaguzi wa Nje waliotumwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali. Barua hii sehemu kubwa inaelezea kile ambacho wakaguzi hao walikipata na mapendekezo yao.

  Wakaguzi wa nje (External Auditors) wa TAC Associate wanaofanya Audit kwa niaba ya Controller and Auditor General (CAG) wameeleza kuwa malipo hayakuwa sahihi. Walipeleka ukaguzi wao kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha Gray Mgonja ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi PPF ambaye hakuufanyia kazi - labda kutokana na matatizo yake mwenyewe. Pia walipeleka nakala kwa CAG. Angalia ukurasa wa nane wa nakara ya ripoti ya TAC


  Ukipitia ripoti ya Mkaguzi Mkuu ya 2007/2008 (kipindi cha Malipo haya) huwezi kuona yale ambayo yanatajwa katika maoni ya wakaguzi hawa ambayo kama yangepewa uzito unaostahili leo hii (baada ya malipo mengine kufanyika kama inavyotarajiwa) tusingekuwa tunayazungumzia.  Ripoti Kamili Inakuja siku chache zijazo - Kurasa karibu 50 ambazo zitashtua watawala wetu. Tukitoka hapa tunaenda kule kwingine ili tusije kuonekana tunaing'ang'ania PPF!  Kundi hilo lililolipwa kiasi hicho ni hawa wafuatao na kiasi cha fedha ambazo walijilipa kama sehemu ya “mafao” yao kwa mwaka 2008.

  1. Baduru Msangi -Mkurugenzi wa Pensions Tshs. 220,000,000 (Milioni 220)
  2.Hossea Kashimba -Chief Internal auditor Tshs. 220,000,000 (Milioni 220)
  3. Michael Mjinja- Director of Commercial Services-Tshs 172, 000,000(Milioni 172)
  4. Charles Chenza-Director of Investiments- Tshs 172, 000,000 (Milioni 172)
  5. Martin Mmari Director of Finance Tshs. 172,000,000 (Milioni 172)
  6. Carina Wangwe-Director of computer Services. Tshs. 130,000,000 (Milioni 130)

  Mwaka 2010 Mkurugenzi wa shirika hilo Bw. Erio alilipwa shilingi 520,000,000 yaani shilingi Milioni 520! Hii ni sasa na nusu bilioni!


  Kwa kadiri ya kwamba Serikali itaendelea kukaa kimya bila kuonesha kuchukua hatua tutaendelea kufunua hapa JF sakata hili kwa kuendelea kuweka hadharani nyaraka mbalimbali zinazohusiana na utendaji mbovu katika mashirika haya ya hifadhi ya jamii... Hatua zozote za kuchunguza PPF ni muhimu kuhusisha mifuko yote mingine. Natumaini Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma itakuwa na la kusema japo sijui kwanini itakuwa hivyo sasa kwani jambo hili lina miaka mitatu sasa na hasa tukizingatia kuwa malipo mengine yatakuwa yamefanyika jana na mengine kufanyika leo huku mmoja wa waliolipwa safari iliyopita atadai kulipwa tena as "end of employment" kwani anakwenda Bodi mpya kusimamia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
   

  Attached Files:

 2. n

  niweze JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hizi ndizo sababu za ccm kukataa democratic reforms ili waendelee kuiba na kujinufaisha familia zao. Tunaona wazi hizi ndizo njia ccm inazitumia kupata funds za kuendesha hata chama chao, watapata wapi pesa ccm kuwahonga wabunge na baadhi ya wananchi kama sio kuiba serikali?

  Ukweli ni kwamba Mwanakijiji ni kuendeleza kupambana na kuchangia hoja na kuweka mikakati humu humu JF ili kuwaondoa wote serikalini. Sioni kama kuna future yeyote ile chini ya Kikwete na hii serikali ya ccm. Inawezekana vipi tukawa na nchi wananchi millioni 43 lakni tuna buruzwa na kikundi cha wahuni kumi? I don't think we have shown these people enough fire for them to shake yet. Wananchi tuna nguvu tuache ku-act as victims. Then, wanatuletea hoja za uislamu tugombane wao wanahamisha pesa za serikali. Wale wapenzi wa Shehe Simba tuwaone mtaani waki mkitetea kikwete kwamba anaonewa.
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  KUna mambo mengine ukiyaangalia hata yanaudhi; tutakapomwaga documents zote nadhani ndio tutaelewa kama tukate tamaa tu na kukubali yaishe au tufanye nini..
   
 4. marshal

  marshal JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  This is horrible aisee!Hizo gratuity zisizo na ufafanuzi jamani Gratuity mil 200 gratuity ya kitu gani!!This is too much
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Haiwezekani Salary Mil 176 acheni uongo.

  Hizo vocha zimechakachuliwa ili ziwaharibie watu majina
   
 6. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  sUBIRI UONE ZA AKINA ERIO NDIO UJIKOJOLEE KABISA
   
 7. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  BASI NDICHO KINACHOENDELEA KULE PPF ... KUWA MVUMILIVU UONE MUVI:embarassed2:
   
 8. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mtabaki kutoamini hivyohivyo ila nchi ndio inakwisha hivyo na hizo ndio evidence kwani hata EPPA na DOWANS hakuamini hvyohivyo mpaka yalipofika mahakamani
   
 9. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2011
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Dawa ni kuchukua hela zetu tu. Haiwezekani tukachezewa hivyo.
   
 10. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  I cannot believe this!!! Hawa si bado ni waajiriwa pale? Sasa wanalipwa terminal benefits halafu wanaendelea kuwa kazini? Au wanafanya kazi kwa mikataba maalumu? Tafadhali anayejua undani wake atwambie.

  Tiba
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  hatuwez kuchukua hela kwa kutumia keyboard. kimsingi ni kwamba tumevamiwa na wakoloni-wazawa. lazima tujikomboe. na bila kufa mtu katu hatutapata ukombozi. lakini mitanzania ilivyokuwa mioga najua itasema "anza wewe".
   
 12. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  tulivyo au ilivyo?sahihisha lugha hapo!!!pia system yetu ya utawala ndio iliotufanya tuwe hivi tulivyo ila ni kweli tunatakiwa kubadilika kama ulivyosema
   
 13. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  "Singularity is NEAR" - Bluray
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  mimi nipo tayari. sina kesi kwa Mungu. kazi aliyonituma ya 'zaeni ili muongezeke' nilishafanya.
   
 15. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  .......tukisema tunaambiwa Rais anashambuliwa kwa sababu ya dini yake!!! Nasi tukubali kuwa kama wao (kahawa na kashata kisha kwenda kulala msikitini) au tufuate yetu (kukomboa Tanganyika toka kwa mkoloni mweusi mtanganyika)? Wana macho lakini hawaoni...wana masikio lakini hawasikii!!!!!
   
 16. I

  Igembe Nsabo Member

  #16
  Mar 29, 2011
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii nchi imekwisha! na hiki kizazi cha watoto wetu na wajukuu wetu sijui tutawaambia nini?? Naona mpaka Kinyaa kuzitazama hizo payment Voucher za Baduru Msangi, ......!!! Hii nchi inakwenda vibaya ana tunahitaji kufanya mabadiliko kwani J.K Nyere alisema "Pengo la walio nacho likiachwa liendelee kukua kati ya walio nacho na wasio nacho, ni sawa na Petroli kuachwa idondoke ndani ya nyumba. Mlipuko ni Lazima" hapa hatuhitaji kusubili mlipuko, ni bora kwa kuwa tunalifahamu hilo, tujaribu kuuepuka huo mlipuko. Mimi na wewe hatujui tutakuwa wapi kipindi hicho cha mlipuko. Tunahitaji kufanya mabadiliko makubwa ya KIMFUMO, mfumo wetu umeoza unatoa uvundo, sio tu kuukarabati bali kuuondoa wote na kuanza upya na mfumo mwingine!!!
   
 17. E

  Edo JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Sitaki kubisha nisilolijua lakini naamini kwa taratibu za utumishi wa umma(PPF ) ikiwamo, mikataba yao ya ajira inafuata kanuni za utumishi wa umma, nyingi tumerithi alizoacha mkoloni na zinafanana na za sehemu nyingine duniani. Nahisi wanayotumia ni hii hapa.

  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]STANDING ORDERS FOR THE PUBLIC SERVICE; TANZANIA GOVERNMENT (2009)[/FONT]
  [FONT=&quot]SUPERANNUATION BENEFITS[/FONT]
  [FONT=&quot]PAGE 114[/FONT]
  [FONT=&quot]E.23 CONTRACT GRATUITY.[/FONT]
  [FONT=&quot]A public servant serving on a contract which provides for payment of a gratuity shall be entitled to receive on satisfactory completion of the contract, a gratuity calculated at the rate prescribed in his contract. The normal rate is twenty-five per centum of total substantive salary drawn during the period of the contract. If a public servant is re-engaged for a further period or periods, the gratuity in respect of the completed period of engagement shall be payable within one month of his return to duty for further service.[/FONT]
   
 18. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2011
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Am I dreaming?

  Is it?this is totally bullshi*T and i can't believe it is happening in my mother Land...

  Hivi nani ni mwenyekiti wa Bodi ya PPF?
   
 19. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,088
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  hiyo ni PPF tu. kuna mashirika mangapi ya umma? bado kuna serikali kuu,serikali za mitaa (halmashauri) kote kuna ubadhirifu mkubwa. inabidi tumwage damu ili kuvinusuru vizazi vijavyo.
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ukweli ndo huo
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...